Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
My god we are going to die all of us kwa hali hii dunia imekwisha iliyobaki tusubiri kiama tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Subiri upate utamu wa mzee wa vijisenti akiachiwa huru kwa kutokuwa na kosa kuwaua wale mabinti wawili..........&.. Mramba, Yona, Idrisa, hata na Mkapa ikibidi atafunguliwa mashtaka na atashinda tu kwani penye ufisadi kesi ni ushahidi kuwa haki ilitendeka lakini inakuwa bosheni, ikumbukwe kuwa Zombe kawapiga tafu baadhi ya wakuuu walioko juu hivi sasa, ikumbukwe zimwi likujualo halikuli likakwisha jamani, ila kuna siku!