ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,647
- 51,954
Kama ni hivyo tayari nimeshakataa hilo jibu lako kwenye comment yangu ya kwanzaKuna bandiko lako la
Mwanaume kutongoza mwanamke under 18
Kama ni hivyo tayari nimeshakataa hilo jibu lako kwenye comment yangu ya kwanzaKuna bandiko lako la
Mwanaume kutongoza mwanamke under 18
Nilisoma madrasa ndioWew umesoma madrasa, kwahiyo hata ukupinga, lakin utakuwa ukweli.
Kwahiyo kama hakuna mashahidi unatomber tu bila wasiwasi au?Kuna makundi mawili ya wazinifu
1) walioowa
Hawa hukumu yao ni kupigwa mawe hadi kufa.
Lakin hadi hukumu isimame lazma wawepo mashahidi (4) walioshuhudia hicho kitendo , chini ya mashahid 4 hakuna hukumu na uliyeshitaki utapigwa bakora 80
2) wazinifu ambao hawajaoa
Kupigwa bakora 100 kila mmoja
Haki zipi kwa mfano weka ushahidi hapaSiyo mfumo dume.
Ni dini inayolinda haki ya kila mtu/ kitu
Nani mjinga atakubali alikula mzigo bila ndoa ili apigiwe bakora 100😁Iko hivi
Kama hakuna mashahid 4 lakin mwanamke na huyo mwanaume wakakiri kuwa wamefanya hicho kitendo, basi hukumu iko juu yao.
Wasipokiri?Iko hivi
Kama hakuna mashahid 4 lakin mwanamke na huyo mwanaume wakakiri kuwa wamefanya hicho kitendo, basi hukumu iko juu yao.
Mashahidi wapo mpaka wa uongo ujueHuwez kumhukum mtu bila ushahidi (mashahid)
Ushahidi wa mchongo upo kama wa LissuNi sawa na ww mtu akakushitak kuwa umeiba hlafu hana ushahidi
Hakika adhabu ni kali. TujiepusheTunapokuwa tunazungumza Sheria katika dini, tunamaanisha miongozo iliyonyooka, (haibadilishwi).
Katika dini (uislamu) hukumu ya zinaa imetajwa katika mafungu mawili
• wazinifu walio kwenye ndoa
• wazinifu ambao hawajaoa
Katika kila kundi lina adhabu yake kutokana na athari watakazoacha kwenye jamii husika.
Watu wengi sahiv ujisifu kwa zinaa (kwenye mitandao au masikani yao) " dalili za kiyama "
Katika mafundisho ya dini (uislamu) mwanamke ndiye chanzo kikubwa cha zinaa.
KIVIPI..?
• Zinaa haiwezi kutokea bila ridhaa ya mwanamke, mwanamke anauwezo wa asilimia 100 kukataa na mwanaume hasiweze kumlazimisha kukutana faragha.
• Athari za zinaa umwangukia zaidi mwanamke kuliko mwanaume
(Mimba,aibu kwa familia na kuharibu nasaba)
Sura al Nuur: inasema...
Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanaume....
Kwanini aya imeanza na mwanamke...?
Mwanamke ndiye mwenye funguo ya kufungua zinaa au kufunga zinaa.
Zerock
Na mwanamke anapokea hivyo hivyo au ni kifo kwa jumlaKuna makundi mawili ya wazinifu