BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,007
Naamini Jaji Mkuu hatawaangusha watanzania! Yeye pia anajua madhara ya kutoa hukumu ya 'hovyo hovyo' kwenye suala hili. Wagombea binafsi 'on your marks', 'get ready'......!!!
Mkuu mimi naomba sana hukumu ya mahakama ya rufaa iwe kama iliyotolewa na mahakama kuu, hii itaongeza changamoto katika uchaguzi ujao na kuwatia kiwewe CCM. Kama Serikali ikishindwa sijui wataibuka na kipi tena ili kutoruhusu wagombea binafsi katika uchaguzi wa mwaka huu.