Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,229
- 128,996
Mkuu Mzee Mwanakijiji , upo?. Are you still standing kwenye mambo kama haya?. Something must be done, and only "we" must do something!. Tukiwasubiri wao wafanye, nothing will be done!. Kama ni kweli tunataka kufanya kitu, na kitu hicho kifanyike kweli, then watu wa kukifanya ni sisi, we!.yaani haki ya mwananchi raia ipo kwa wakati fulani tu na wakati fulani isiwepo? Haki ya kugombea nafasi yoyote ni haki ya msingi ya kila Mtanzania, hatuwezi kuifuta haki fulani kwa sababu ati hatuna miundo mbinu fulani au hatuipendi.