ukisoma hukumu ya Tundu Lissu vizuri utaona jinsi gani jaji wa kesi ya Lema alivyochemka kwani kila hoja iliyotolewa na walalamikaji alisisita jambo moja kuu kutokuthibitishwa ndio ilikuwa sababu kubwa ya kuyakataa madai yao ambapo kwy kesi
ya Lema wahusika hawakuthibitisha maneno yao kwa kuleta ushahidi wowote ilikuwa ni maneno matupu.
Hongera sana Tundu Lissu na Mungu Akubariki ktk utumishi wako kwa watu wa singida.
Da nyani sikutegemea kusikia unauliza swali kama ili mdau ,tunasema neno moja tu EMOTIONALAnalia nini sasa...
kazurura kuanzia lini?afanye maendeleo basi jimboni kwake,aache kuzulura mitaani kufanya uchochezi.
Emotional means concerned with emotions and feelings.ni kusema kuwa ushitakiwe,kisha ujitetee pekee yako,huku unaoshindana nao wana kila kitu kukushinda japo haki yaweza kuwa juu yako,ilikuwa ni kudra za MUNGU,na si maarifa yake na ujuzi wake wa sheria kwa kuwa anajua dhahiri kushindana nao kuliitaji nguvu zaidi ya utashi wa kibinadamu!!
Arusha kwa Lema huyu Mungu hakuwepo?Tulianza na Mungu, tumemaliza na Mungu.
Wanyonge tunaiona kazi yako, na Mungu amesikiliza kilio cha wanyonge.
Shetani alikuwa mmoja wa malaika wakuu wa mwenyezi Mungu lakini akamuhasi Mwenyezi Mungu. Naye Muumba akamlaani shetani na akamwambia akatafute wenziwe huko duniani. Na hao wenziwe shetani ni pamoja na hawa akina magamba.Arusha kwa Lema huyu Mungu hakuwepo?
Huyo jamaa nn nadhani ni stress za boks na mipombe ya ghetto hiyo. siyo kosa lake.Da nyani sikutegemea kusikia unauliza swali kama ili mdau ,tunasema neno moja tu EMOTIONAL
Emotional means concerned with emotions and feelings.ni kusema kuwa ushitakiwe,kisha ujitetee pekee yako,huku unaoshindana nao wana kila kitu kukushinda japo haki yaweza kuwa juu yako,ilikuwa ni kudra za MUNGU,na si maarifa yake na ujuzi wake wa sheria kwa kuwa anajua dhahiri kushindana nao kuliitaji nguvu zaidi ya utashi wa kibinadamu!!
Ngabu basi uwe unazuka msondo popote pale walipo kama ni Mbagala Zakiem,au Tabata Mwisho, au Ilala Community Centre mbona tayari wangekuwa wameshakupa verse za kiutu uzima kupitia song lao naliheshimia "UKIONA MTU MZIMA ANALIA MBELE ZA WATU UJUE KUNA JAMBO"Next time be mature and dont ask that teens question dude!!!
Thamani ya kila tone la chozi la Kamanda Lissu ni ukombozi kwa kila mtanzania na wewe ukiwemo.Kweli nimeamini ubunge dili. Yaani jamaa na utu uzima wake kalia kama mtoto! Dah, hii mpya!
I Believe in God,your statement sound like a non believer so I cant argue with your comment, but of what your saying frivolous Lawsuit TL was the victim that's why we are concerned!!!Hakukuwa na cha mungu wala mjomba'ake mungu.
The truth of the matter is that was just a frivolous lawsuit and I'm kinda surprised it even made it that far, to be honest with you.
Mkuu hujamwona wakili wa magamba kwenye picha #3 anavyolia, tena kabla ya kesi kuanza...analilia nini?Kweli nimeamini ubunge dili. Yaani jamaa na utu uzima wake kalia kama mtoto! Dah, hii mpya!
Neno "hatari" laweza kutumika both ways, positively and negatively. Hapo lipo so ambiguous!Tundu Lissu ni hatari kwa utawala wa Jk.
Hatari kwa muungano
Hatari kwa katiba
kwa hiyo na huu umefanywa na jaji husika ki chadema au?Baada ya uamuzi wa kijinga na kishabiki wa kule Arusha ambao ulifanywa na Jaji yule ki CCM walio bakia na wenye busara zao sasa wanatumia vyema elimu yao na mamlaka yao.Uamuzi wa Lema umepeleka pia ujumbe mzito mno kwa CCM na sasa waliobakia wamejifunza na mbaya zaidi hata wakiita uchaguzi leo CCM itaanguka na labda watakata tena rufaa .Jaji wa kesi ya Lema hana amani wala raha na chochote alicho kipewa maana haki hii hucheleweshwa tu na huwezi imaliza kwa wenye nayo .
Yule wa Lema alipewa shinikizo!