Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,237
- 44,470
wenzetu wakenya huwa wana ka utaratibu kazuri sana wa kuwapata viongozi wa kuongoza taasisi nyeti zote.huku kwetu hawa mabwana ni ma president appointees,hv rais akisema make sure that kesi funali ushindi unapatikana atagoma jaji?
Ni aibu kubwa kwa jaji na mfumo mzima wa mahakama katika nchi hii. Historia itawatesa CCM.mwenyewe nilipigiwa simu na kigogo serikalini juzi akiniambia matokeo ya arusha yatabatilishwa lema sio mbunge tena.nikamwambia acha tuone kumbe kweli, jamani katiba ibadilishwe mahakama ziwe huru.
Hao unaosema wana utaratibu mzuri ndio tumeona wanauana hovyo mpaka aende Mkapa na Jakaya kuwapatanisha, au umesahau?
Tatizo mleta mada anayedai ni mwanasheria badala ya kuipeleka mada jukwaa la sheria kaileta jukwaa la siasa. Kwa hiyo comments huku ni za kisiasa tuu. Whether or not kesi imepikwa ni kweli kwamba hii ni kesi ya tort?
hapa ndipo ninapoikubali JF....mkuu heshima sanaTangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.
Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?
Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.