Hukumu ya lema ilipikwa.

Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.

Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?

Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.

Ni ya ki pu.mba.vu sana pia! Tanzania hatuna majaji tuna wachumia tumbo!
 
CCM is not satisfied with a normal 6ft deep grave dug for them in Arumeru, they are digging deeper and deeper! Arusha will teach them a valuable lesson. To loose two bi elections in a row will be bitter for Ritz and co to swallow!

Not two,It is going to be three.ARUMERU,ARUSHA and SEGEREA.Am worried about the MNYIKA Case.
 
Was Batlida called before the Court to testify and prove if such abusive words were uttered against her by Lema..?

kama unakumbuka vizuri jaji alingangania sana Batilda aje mahakamani kwa sababu alikuwa anajua wazi ni vigumu kuthibitisha kwa kutumia third party, sasa inadhiirisha wazi kuwa kungangania kwake batilda kulikuwa ni kwa ajili ya kuitengeneza vizuri hukumu yake ya kupika kwa kumtumia batilda.
 
Swala hili ni pana kuliko wengi mnavyofikiria jiulizeni kwanini CCM inaonga vyeo mbali mbali kwa majaji kila kukicha ?? nia ni kupeleka ujumbe kwa majaji wote kuwa ukikubali kufuata yale tunayotaka basi siku moja utakuwa kama hawa wenzako tunaowapa vyeo. definetely huyu jaji kuongwa ameongwa na amefanya hivi ili kuwachukulia pesa zao waliohonga lakini hukumu ameiweka vibaya kiasi kwamba jaji yeyote atakayekuja with independent eye bila kuongwa lazima atatengua hukumu hii lakini jaji wa kwanza ameshachukua pesa na atawaambia wahusika nilishafanya kazi yangu lakini amekuja mwingine ametengua kwahiyo kosa sio la kwangu tena lakini pesa iko kibindoni.
 
wakuu mwenye hukumu atuwekee hapa jamvini tuichambue. wengine tunashindwa kuchangia kwa sababu hatuna facts. tukipata facts tutazichambua na hukumu ya rufaa itapatikana hapahapa jamvini.
 
tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.

Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?

Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.

hilo neno ndo mjue sasa kwamba tanzania ipo kichwa chini miguu juu ( ona pia ubabaishaji kwenye swala la mwakyembe) japo yeye anajitahidi kufa kiume i.e kulea ugonjwa!!!
 
Mimi na familia yangu hapa Dar,tumepatwa na mshtuko mkuu bada ya kuzipata taarifa hizi,ivi kwa nini jaji atufanyie mambo kama hayo?IZO NI MBINU CHAFU SANA AMBAZO HAZIJAWAI KUFANYIKA HAPA TANZANIA ACHILIA MBALI DUNIANI,inatia uchungu sisi tumejitolea kuja Arusha kesho toka Dar kupinga hukumu iyo hata kama mh.Kakubali kurudia uchaguzi sisi tunataka aendelee tu na japo atashinda tena ila hawaoni kama maapesa yanapotea kwa kurudia uchaguzi?ingeleta maana kama angekuwa anatangazwa Batilda lakini eti wanarudia uchaguzi ni wazi atashinda LEMA!kusoma hamjui hata kuona PICHA?
 
wenzetu wakenya huwa wana ka utaratibu kazuri sana wa kuwapata viongozi wa kuongoza taasisi nyeti zote.huku kwetu hawa mabwana ni ma president appointees,hv rais akisema make sure that kesi funali ushindi unapatikana atagoma jaji?

siyo tu wanafanyiwa vetting na independent body, bali they enjoy security of tenure,hivo wanachapa kazi bila woga wa kutimuliwa na bana kubwa.
 
CCm jamani mna mpango gani na watanzania? Angalia mlivyomtenda Sioi yatima wa watu bado alikuwa ana machungu ya kufiwa babake mkamlazimisha kugombea eneo ambalo mlikuwa na uhakika hamtashinda. Halafu mkamkimbia dakika za majeruhi, hata kwenye Tv tulimwona anavyotia huruma. Tena nackia bajeti yenyewe mlitoa finyu si ajabu mmemwachia madeni. Leo tena uchaguzi unarudiwa mahali ambapo mtaambulia aibu. Wananchi tuna matatizo mengi tuhurumieni jamani. Na nyie mashahidi wa uongo tena wengine ni wana wake mna kesi ya kujibu mbele za Mungu. Hiyo bajeti ya huo uchaguzi ingeweza kuwasomesha mayatima kadhaa au hata kuwatunza wazee kadhaa wanaocharangwa mapanga ili wanyang'anywe ardhi huko kanda ya ziwa. Oh! My poor country. CCM umechokwa. Hujiulizi kwa nini siri zako zinavuja sana siku hizi? Jikumbushe juzi arumeru jinsi ulivyovujishiwa siri mpk ukabanwa hadi basi. Haya tunasubiria wengine akina Tundu Lisu na Mnyika maana nackia nao wamo kwenye listi. Poa tu.
 
My learned friend, what kind of tort are you talking about? Go and dig deeper, there are precedents which may make an adjudicator dispense with such a general rule. Furthermore, the complainants were the ones needed to prove, the insulted person was just to be a witness needed not to prove damage on herself rather than proving the words were uttered. There was no need of calling her if the evidence adduced sufficed to convict the way the complainant contemplated. For example if I utter abusive words to your father at your presence, will you fail to prove damage or injury upon yourself? As you will be the complainant, your father's role will be to prove that there were such abusive words. Scout around my fellow learned friend.

Avanti,

Looks like you a Bush lawyer,eh!?

Read you own red words. That the father role will be to prove that abusive words were uttered to him. If that is the case,then Matilda Burian was supposed to be summoned before the Court of Law to prove beyond reasonable doubt that those abusive words were uttered against her by His Excellency Godbless Lema. But in this case Matilda Burian never appeared before the Court of Law!!!Why????

Do you think this is a fair judgement according to the Law?Never!!!

Ukweli unabaki pale pale kuwa Jaji AMECHAKACHUA KWA MAELEKEZO MAALUMU TOKA JUU ILI KUIKOMOA CHADEMA NA MHE.GODBLESS LEMA. Huo ndiyo ukweli and it shall stand quoating for many years to come.
 
Bomba la EPA na mafisadi bado linatema pesa za bure jaji amekula mshiko mrefu hapo .haiwezekani Dr Bat asije kutoa maelezo namna alivyoathirika na kutukwana kwake na mheshima Lema.Wasomi wetu wengi wanaturudisha nyuma katika kuitokomeza ccm.ndiyo maana naomba Vijana wajiandikishe kwa wingi mwaka 2015 hakuna kulala ni kupiga kura na kuziprotect kwa nguvu zote hata kama ni siku au week mpaka kieleweke
 
Hakimu aliyetoa hukumu ni nani?mtajeni.huenda alishinikizwa kwa kuogopamambo mengi kama alivyojitoa jaji wa mwanzo unadhani kijani wana mchezo wakiamua?pole sana my lovely brother lema.ubunge ni wako!
 
Nimekwisha sema katika thread nyingine, honestly hukumu hii imeandikwa na mtu mwingine tena DAR na kusomwa na mwingine ARUSHA, nasema hivi kwa kuwa ile logical flow ambayo huleta valid conclusion haipo!

Uchaguzi mwingine mdogo litakuwa pigo jingine la aibu kwa THITHIEMU!
 
Hakuna haja ya kukata rufaa maana itakuwa ni kupoteza muda tuu. Pia tukumbuke kuwa hata tukikata rufaa, watakaotakiwa kutoa maamuzi ni hizi hizi mahakama ambazo kiukweli haziko huru. Ni kama kukata Rufaa ya hukumu ya Yesu kutoka kwa Pilato, ukaipeleka kwa Kaisari au Makuhani ambao ndo hao walikuwa na hamu ya kumwua tangu siku nyingi. Cha maana ni kuwaachia wananchi wa Arusha Mjini wawahukumu hawa CCM. Mimi ninaamini kuwa Ukisimamisha Gogo na CCM Arusha Mjini, wananchi watachagua kuongozwa na Gogo kuliko kuongozwa na CCM. Jaji aliyetoa hukumu hakuwa huru. Mahakama ya Tanzania haiko huru, Bunge haliko huru, vyote vimetawaliwa na Chama Cha Mapinduzi. Waswahili walisema "MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA" CCM wanatapatapa maana wanajua chama chao kinafia mikononi mwa Mwanajeshi (Kikwete).
Hapo Rufaa ni muhimu. Uchakachuzi umezidi
 
hakika naamini Lema atarudi mjengoni hilo la kuchakachua lilikuwa wazi tangia awali.hukumu ilijulikana mapemaaaaaaaaaaa.

Kumbuka Lema aliamini atashinda kesi kiulaini hadi leo hali ilipotokea tofauti so do not take things for granted!! Mungu atupe uhai tuone mwisho wa sakata hili!
 
wanasheria nao kujifanyia 'learned' zaidi ya wengine?! Sasa wewe unatuletea vingereza na torts za kwenye wikipedia! Ndo mnaochuuza nchi yetu,lakn kwa arusha wembe utakaotumika ni uleule wa arumeru. Haujaisha makali.

Hahahaaa....wasomi hao bana...hutaki sasa?
 
Back
Top Bottom