Hukumu ya lema ilipikwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya lema ilipikwa.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by don-oba, Apr 5, 2012.

 1. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.

  Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?

  Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  N e n o
   
 3. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,783
  Likes Received: 1,962
  Trophy Points: 280
  Money's powerrrrrrrrr
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Asane.......hii itaingia kwenye historia ya hukumu za kimbumbumbu Tanzania
   
 5. N

  Nono ze utamu Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uliyoyanena ni ya kweli mkuu so unahic nn kfanyike kwan hukumu ndo hyo imeishatoka.
   
 6. k

  kizazi kipya JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  siasa zinapoingia kwenye utendaji....halafu mnakaa majukwaani kulaani rushwa,mchezo wa kitoto sana ndo maana tunasema ccm na rushwa ni pande mbil za sarafu moja huwezi kutenganisha...tunahitaji ukombozi wa kweli wa tz
   
 7. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bora lema ametolewa bungeni maana alikuwa sifa nyingi yule
   
 8. delabuta

  delabuta Senior Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenyewe nilipigiwa simu na kigogo serikalini juzi akiniambia matokeo ya arusha yatabatilishwa lema sio mbunge tena.nikamwambia acha tuone kumbe kweli, jamani katiba ibadilishwe mahakama ziwe huru.
   
 9. Mufa

  Mufa Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauliza katiba inasemaje?tukifanya uchaguzi mdogo lazima lema atachaguliwa tu
   
 10. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  wenzetu wakenya huwa wana ka utaratibu kazuri sana wa kuwapata viongozi wa kuongoza taasisi nyeti zote.huku kwetu hawa mabwana ni ma president appointees,hv rais akisema make sure that kesi funali ushindi unapatikana atagoma jaji?
   
 11. MESAYA

  MESAYA Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Mimi mwenyewe nimeshangazwa sana na hukumu hiyo kwani kwa elimu ya sheria ya miaka mitatu niliyonayo mpaka sasa hata siku moja huwezi kutukia ushaidi wa 3rd party kumhukumu mtu kwa makosa ya tort, ni kama vile mhindi akutemee mate ya pariki halafu rafiki yako akashitaki na kudhibitisha mahakamani kwamba mate yalikuunguza, but hii ilionekana from the beginning kwani ndiyo sababu kubwa iliyomfanya jaji aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo awali ajitoe mnamo tarehe 6 february mwaka huu kwa kusema siwezi kusikiliza na kutoa maamuzi ya kesi kama hii.
   
 12. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hii hukumu hakika haiwezi kuwa 'PRECEDENT' katika hukumu zingine. Kuna hukumu huwa hata za mahakama ya mwanzo zina mantiki kuliko hii.
   
 13. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Mimi wala hili halinishangazi kwani Nape alilisema mapema kabisa.
   
 14. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hebu tupeni CV ya huyo jaji kwanza
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tanzania kila kitu kinawezekana,Tanzania zaidi ya uijuavyo!
   
 16. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mimi si mwanasheria na sijaifuatilia kwa makini hii kesi ila nimeshtuka kidogo hapo kwenye red..?Kwani kesi ilifunguliwa na nani?
   
 17. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu hiyo hukumu ilikuwa imetengenezwa na viongozi wa kisiasa wa CCM,hilo tunalielewa hata watu ambao hawana elimu yoyote ile
   
 18. n

  nyamandu Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo Rufaa ni muhimu. Uchakachuzi umezidi
   
 19. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  My learned friend, what kind of tort are you talking about? Go and dig deeper, there are precedents which may make an adjudicator dispense with such a general rule. Furthermore, the complainants were the ones needed to prove, the insulted person was just to be a witness needed not to prove damage on herself rather than proving the words were uttered. There was no need of calling her if the evidence adduced sufficed to convict the way the complainant contemplated. For example if I utter abusive words to your father at your presence, will you fail to prove damage or injury upon yourself? As you will be the complainant, your father's role will be to prove that there were such abusive words. Scout around my fellow learned friend.
   
 20. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  imenishangaza sana, hivi huyu jaji ataficha wapi uso wake. Mimi naamini kapindisha sheria makusudi. Haiwezekani mtu alishawahi kuwa wakili, ana uzoefu zaidi ya miaka kumi halafu alete hukumu kama hii.
   
Loading...