Hukumu ya Kwanza ya Jaji Kiongozi imetoa mwelekeo wa legacy yake. Tutarajirie haya...

Mahakama haitendi mtakavyo. Kwa Sabaya mlichekelea subiri na yajayo yoyote ile tuyakubali...
Kwa hiyo sabaya hana makosa na ameonewa?
Nchi yetu ina shida sana. Yaani sabaya analinganishwa na mtuhumiwa ili ku balance?
Nikikuuliza utasema nimemaliza chuo kikuu kivukoni????
Kwa akili hizi????
 
Kwa hiyo sabaya hana makosa na ameonewa?
Nchi yetu ina shida sana. Yaani sabaya analinganishwa na mtuhumiwa ili ku balance?
Nikikuuliza utasema nimemaliza chuo kikuu kivukoni????
Kwa akili hizi????
Wote watakao kuywa na hatia na waliyo yenda ni kweli sheria ufuate mkondo wako...
Kusoma chuo kikuu sio mwisho wa maarifa..
 
Kwa hiyo sabaya hana makosa na ameonewa?
Nchi yetu ina shida sana. Yaani sabaya analinganishwa na mtuhumiwa ili ku balance?
Nikikuuliza utasema nimemaliza chuo kikuu kivukoni????
Kwa akili hizi????
Mbowe ni mtuhumiwa hatukatai lakini msishinikize mahakama ifate matakwa yenu, acheni procedures za mahakama zifatwe ili haki ipatikane. Haki inaweza kuwa Mbowe kuachiwa huru Kama atakutwa hana hatia au kifungo Kama kweli amefanya makosa. Tatizo lenu Chadema mnatafasri haki kutendeka ikiwa hukumu itakuwa nzuri upande wenu.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuapishwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania, Mhe. Jaji Kiongozi Mustapha Siyani ametoa mwelekeo wake kupitia Hukumu yake ya Kwanza kama Jaji Kiongozi.

Nimesema mwelekeo nikimaanisha aina ya legacy yake. Kwa mtazamo wangu ninaona mwelekeo au mguu aliouanza Jaji Kiongozi katika hukumu yake ya Kwanza haukuonesha uongozi wa Kimahakama kuonesha haki inatendeka.

Mimi siyo Shabiki wa Mbowe wala CHADEMA hata kidogo. Ukipitia posts zangu za nyuma unaweza kuthibitisha hili. Lakini siwezi kuwa shabiki wa udhalimu, dhulma na ubaguzi mkubwa unaofanywa na CCM yangu kwa Watanzania hususani Wapinzani.

Hukumu hii ya kwanza kama Jaji Kiongozi iwaalike wanazuoni wa Sheria kuitazama sura ya Mahakama ya Tanzania iwapo inasimama kama hekalu la haki au hekalu la kuwapa kinga ya kisheria wezi, wauaji, wanyang'anyi na nasaba hizo.

Tujipe fursa sasa ya kuanza kuokota ama kukusanya vipande vinavyoweza kupelekea upatikanaji wa Katiba Mpya yenye kutoa haki, kuwajibisha na kuimarisha misingi yetu kama Taifa moja bila kubaguana.

Jaji Kiongozi ameonesha mwelekeo wake kama msimamizi mkuu wa judicial caucus yenye dhamana kubwa kwa Taifa hili.

Hapa sijamtaja Jaji Mkuu ambaye bado anaamini Jamhuri ina makamu wawili wa RaisView attachment 1981914View attachment 1981915
Ukweli huu tulishausema mbele ya wanaccm maamuma wakatubeza. Tunasema kuwa hata kama Mbowe ni Gaidi lakini maamuzi ya Jaji Siayani yalijikita kwenye hisia zake binafsi na si Sheria na ushahidi. Hivyo twaweza kuamini Mbowe ameonewa
 
Unatia huruma hujui hata tafsir ya neno GAIDI
Sijui ulisoma wapi wewe kilaza wa lumumba???
Ni ngumu sana kuthibitisha kesi za ugaidi mzee.
USA na kuendelea kwake hajawahi kuthibitisha na kuhukumu mtu kwa ugaidi itakuwa hao mapolisi waliofeli shule kama wewe????
Juzi tu hapa mmewachia mashkhe wa UAMSHO mbona wasigungwe sasa???
Shetani wewe
Mbowe atakuwa huru soon kwa uwezo wa Allah
 
Mbowe ni mtuhumiwa hatukatai lakini msishinikize mahakama ifate matakwa yenu, acheni procedures za mahakama zifatwe ili haki ipatikane. Haki inaweza kuwa Mbowe kuachiwa huru Kama atakutwa hana hatia au kifungo Kama kweli amefanya makosa. Tatizo lenu Chadema mnatafasri haki kutendeka ikiwa hukumu itakuwa nzuri upande wenu.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Nitake radhi mimi sio Chadema japo mpenda haki.. Tanzania si yako peke yako..
 
Back
Top Bottom