Hukumu ya Kijana Abdul Nondo

Hukumu ya Kijana Abdul Nondo

Nilikutana na huyo dogo akiingia court hapo Iringa yaani viatu vimeisha soli kabisa sijui kwanini hapambani na masomo kwanza anahangaika na siasa.
daah sio fair aisee ..
 
Kesho nitakuwa kwenye Viunga vya Mahakama ya Iringa kusikiliza hukumu ya Kijana machachari Abdul Nondo VS Jamuhuri japo hukumu tayari ninayo ila ngoja tusubiri tuone nini kitakachojiri.Nawasilisha
Kama jina lako lilivyo ndivyo nlivyochukulia hii habar
 
Utatuletea updates mkuu!
Halafu unanichanganya unaposema hukumu tayari unayo ilihali itasomwa kesho, unataka kusema huna imani na mahakama zetu??
Labda yeye ndo mtoa hukumu
 
Back
Top Bottom