wewe ni mzushi kweli, sasa hukumu unayo, kitakachojiri kitatoka wapi wakati hukumu unayo?Kesho nitakuwa kwenye Viunga vya Mahakama ya Iringa kusikiliza hukumu ya Kijana machachari Abdul Nondo VS Jamuhuri japo hukumu tayari ninayo ila ngoja tusubiri tuone nini kitakachojiri.Nawasilisha