Hukumu ya Kijana Abdul Nondo

Hukumu ya Kijana Abdul Nondo

Kesho nitakuwa kwenye Viunga vya Mahakama ya Iringa kusikiliza hukumu ya Kijana machachari Abdul Nondo VS Jamuhuri japo hukumu tayari ninayo ila ngoja tusubiri tuone nini kitakachojiri.Nawasilisha

ID yako tu pekee imetosha kunifanya nijutie kwanini nimeufungua na kuusoma huu ' Uzi ' wako.
 
Hata Mandela alifungwa japo hakustahili. Halikadhalika, Yesu pia alihukumiwa na kusulubiwa japo hakuwa na hatia yoyote..Hivyo, wakimfunga Nondo, haitakuwa ajabu, ila akishinda, basi haki itakuwa imeshinda dhuluma na uonevu.
mkuu hueleweki..hivi kwa mawazo yako Nondo alitekwa au hakutekwa..na kama alijiteka kitu ambacho amekiri unadhan basi adhabu yake ingefaa iweje...
 
Hata Mandela alifungwa japo hakustahili. Halikadhalika, Yesu pia alihukumiwa na kusulubiwa japo hakuwa na hatia yoyote..Hivyo, wakimfunga Nondo, haitakuwa ajabu, ila akishinda, basi haki itakuwa imeshinda dhuluma na uonevu.
Mungu mbariki Abdul Nondo
 
Back
Top Bottom