Hukumu ya Kijana Abdul Nondo

Hukumu ya Kijana Abdul Nondo

Hata Mandela alifungwa japo hakustahili. Halikadhalika, Yesu pia alihukumiwa na kusulubiwa japo hakuwa na hatia.Hivyo, wakimfunga Nondo, haitakuwa ajabu, ila akishinda, basi haki itakuwa imeshinda dhuluma na uonevu.
Naona umetega pande zote.. Ila Nondo kulinganisha na MANDELA, aibu nimeona mimi
 
Kesho nitakuwa kwenye Viunga vya Mahakama ya Iringa kusikiliza hukumu ya Kijana machachari Abdul Nondo VS Jamuhuri japo hukumu tayari ninayo ila ngoja tusubiri tuone nini kitakachojiri.Nawasilisha
Mzushi katika ubora wako.

Habari za watu kama hawa kula mvua unakuaga nazo, unazipata wapi mkuu
 
Muhimu asionewe wala asihukumiwe kwa matakwa ya watu fulani wenye hila juu yake,na kama hukumu itakuwa ya haki juu ya aliyotenda na abebe mzigo wake.
 
Back
Top Bottom