Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Nimeongea na jamaa angu yuko mahakamani anasema hukumu bado inasomwa. Kuweni na subira!

Tena nilikuwa nakutafuta facebook ili kukuuliza maana nafahamu unawatu wa pale wanaoweza kufuatilia hukumu hiyo kwa ukaribu zaidi. Tusaidie kupata taarifa za uhakika mkuu....
 
Hivi cdm haina kiongozi aliyeko karibu kuweza kutujuza kinachoendelea?Mbona kwa Lissu Isango alikuwa anatupatia updates nzuri.Kule sumbawanga wana jf makini wametusaidia sana.vipi huku bmulo?
 
Hivi mahakama hazina muda maalum katika ufanyaji kazi wake?hii ya leo lazima kuna namna
 
Tetesi, baada ya hukumu ya sumbawanga kuwachanganya wakulu, imebidi na matokeo ya kesi ya bimulo yabadilishwe, amini usiamini hukumu imeanza kusomwa saa kumi baada ya hakimu kupigiwa simu za vitisho na amri ili kubadili ukumu, sasa bubirini hukumu ya ajabu kama ya arusha, tetesi zimetoka jikoni kabisa
 
Hii imekaa ki_ArushaX2, hukumu dakika 45 leo usiku. Tanzania ina maajabu, acha kabisa.
 
Eh! Kweli tanzania inastahili kuingia kwenye G. Book of records.
 
Wanataka tufungane magoli sawa ili iwe penati?Tutaona tukifikia huko.
 

Ina maana jaji naye hakuajiliwa kwa mujibu wa sheria hadi atishike?
 
hata uchaguzi ukirudiwa, mbasa(shoka) litawapasua tena...labda tu wamzuie kugombea tena...!
 
Hivi bado tu??

Hii hukumu inaweza kuwa nyeusi lol!!
 
ipi ni sahihi?

  • Bihalamlo
  • Bihalamulo
  • Biharamlo
  • Biharamulo
  • Biharamlo
  • Biharamulo
  • Biharamro
  • Biharamuro
 
Wanatoa sababu gani mpaka sasa hukumu bado kusomwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…