Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Hukumu ipo na inaendelea kusomwa. Nipo Songea lakini ninamawasiliano na watu mahakamani.
 
Nimeongea na jamaa angu yuko mahakamani anasema hukumu bado inasomwa. Kuweni na subira!
 
Jamani nina mashaka; maana jicho la kushoto linancheza sana, yawezekana mtoa mada kavamiwa; hakuna mwenye mawasiliano naye kwa namna nyingine tofauti na kupitia JF?
 
Hukumu bado inasomwa!!hadi saa tatu hii?au wanahesabu kura upya?hata kama ni hivyo si mtupe matokeo ya vituoni basi?
 
ina maana hakuna mtoa taarifa mwenye ndugu, jamaa, rafiki pale biharamulo
 
Hapo wakimng'oa mbasa lazima kuna namna Jaji aachie ngazi.HUU NI UHUNI KTK HUU MHIMILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…