Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Hukumu bado wakuu au ngoma imelala.
 
saa 18:18 nmeongea na katibu wa magamba B'Mlo akaseama watu ni wengi na kesi bado inasomwa
 
jamani mtandao wa jamiiforums ulikata so ilikuwa sio rahisi wa kutuma updates. so nafikili manyanza hajajua kama jf imerudi. mumsamehe bure.
 
muda wa kulala huu sasa, hakuna hukumu wala nini? Magamba washachakachua mpaka muda
 
Hii sanaa tu inawezekana aliyeweka thread hii katuingiza choo cha kike....nahisi kulikuwa hakuna hukumu yoyote leo jamaa kafanikiwa kutukama vilivyo leo. Hongera mleta thread kwa kuteka mawazo ya wanajf.
 
Nadhani tusubirie ili kujua tatizo nn, huenda kukawa na matatizo ya kiufundi!
 
jamani huko biharamulo bado hukumu inasomwa mpaka muda huu
 
Hii sanaa tu inawezekana aliyeweka thread hii katuingiza choo cha kike....nahisi kulikuwa hakuna hukumu yoyote leo jamaa kafanikiwa kutukama vilivyo leo. Hongera mleta thread kwa kuteka mawazo ya wanajf.
Mhuuu! Kweli JF ina watu na viatu, kumbe mambo yenyewe ndo hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…