Hukumu ya kesi ya Masheikh kutolewa Mei 19, 2021

UMEANDIKA VIZURIII, lakini ulipomalizia na kitu kinachoitwa "shura ya maimamu" tu hapo ndio inakufanya ukose sapoti kwa watu wengi sana, kwasababu unaonyesha aina fulani ya udini. sometimes muwe mnaficha kidogo kuingiza sana dini kwenye mambo ya msingi ili kuwaunganisha watz wote wapambane adui yao mmoja (ambaye ni ukandamizaji haki). matatizo kama haya yanawapata watanzania wa dini zote, unapoleta hapa achana na viashiria vya dini moja.
Udini unauleta wewe kwenye mchango wako.
Maimamu lazima wajadili mustakabali wa mashehe wenzao.
Binafsi hatakama angenukuu vifungu vya kuruani au biblia nisingeona kwamba niudini kwasababu watuhumiwa wote ni viongozi wa dini.
Tofautisha dini na udini
 
sasa maimamu hapa kwetu sisi wanatuhusu nini? interest yetu sisi ni haki ya mtu, hao maimamu wanaingilia wapi?
 
Back
Top Bottom