Hukumu ya kesi ya maandamano ya January 5 ya CHADEMA leo

ukiona mwanaume analalamika kwamba mwanaume mwingine anaandikwa sana jf ujue tayari washamharibu. Tumuonee huruma mwanaume wa aina hiyo, sio mwanaume tena....tumtumie kupata misaada, tutambue haki zake.
 
hapo tu penye redi..kwa kuuza sera sisi ndio wenyewe na tunakubalika na sera zinanunuliwa! Umeona ya Igunga...na bado tunaenda Kasulu kulichukua jimbo letu!! by Dec 2012 yatakuwa yamesharudi yote!
Kasulu ya wapi ambayo jimbo lake liko wazi?
 
kwa hiyo kwa akili yako anapotaka polisi iache kunyanyasa na kupiga raia siyo majukumu yake hayo? na kutaka serikali iheshimu haki za kikatiba kama uhuru wa kukusanyika unaotakiwa na tamko la haki za binadamu ambalo tz imeridhia siyo kutaka mikataba ya kimataifa itekelezwe? na wewe unadhani kuna maendeleo bila haki? maendeleo ni ya watu siyo vitu.Umewataja felix mrema na zitto je nawewe wamekutuma? wananchi wa arusha wewe ni msemaji wao? mbona mimi niwa arusha na sioni hicho unachosema kuwa tunaumia? unataka kusema arusha iko nyuma ya tabora,shinyanga mjini, sumbawanga,au monduli ambako kuna ma ccm yanaongoza? Rejao acha kuwa rejareja hivyo.sisi wengine hatufungwi na unachoita itikadi na ushabiki bali hoja na sasa kwa kweli mimi naona huna hoja na unajipinga mno kimantiki.boresha namna yako ya kueleza unachotaka
 



Asante Mkuu. Asipoelewa kutakuwa kunakitu kinamsukuma nyuma yake!
 
Habari za Lema zimekuwa kama nyimbo za bongofleva. Haziuzi tena zinaboa.
 
Lema huwa anawapa viroba na bangi ndio wanaandika haya. Maendeleo kwao sio issue, issue ni viroba
 



Asante Mkuu. Asipoelewa kutakuwa kunakitu kinamsukuma nyuma yake!
 

Sasa kwa nini vuvuzela lenu Nape lilikuwa linazunguka blogs mbali mbali? Lilikuwa linatafuta nini?
 

Hukumu ya hawa watu ni kufungwa tu !


Hiyo ndio shauku ya mabosi wako but justice shall stand and prevail.

Hukumbuki jinsi IGP, RPC na OCD walivyojichanganya kuhusu kibali cha maandamano kutolewa na baadaye kufutwa kupitia TBC1? Kwani CDM walipoomba na kukubaliwa walitumia vyombo vya habari?
 
ivi siku ile walipoenda kunywa juice magogoni walikuwa wangapi vile!af wakenua mimeno yote nje.
 
Kesi imeahirishwa hadi Jan 17,baada ya wakili wa serikali kuomba kubadilisha hati ya mashtaka,na hakimu kutumia moja ya vifungu vinavyompa mamlaka kumruhusu,kuwaagiza mawakili wa utetezi.Hivyo Jan 17 itakuja kusikilizwa upya.
 
..... kiuhalisia wananchi wa Arusha wanaumia. Wananchi wengi wa Arusha wanamkumbuka sana Felex Mrema.

Huyu alikuwa mchapa kazi wa ukweli,,,,



Mkuu huyo Felex Mrema hana cha kukumbukwa Arusha. Hakuna cha maana alichokifanya. Wananchi wa Arusha hawakuwa wanamwona tena baada ya uchaguzi na hawakuwahi kumsikia akichangia chochote bungeni, hata kwa maandishi. Ndio maana hakupita hata kwenye kura za maoni!

Nimeshangazwa na kauli yako kwamba ni mchapa kazi. Sijui ni kazi gani unayoisema ambayo zaidi ya wapigakura 57000 wa Arusha hawakuiona kabisa wakaamua kumchagua Lema ambaye hakuwahi kuhamasisha usafi wa mtaani.?

Wananchi wa Arusha wanampenda na kumfurahia Lema maana wapo nae siku zote. Wanapishana nae mtaani. Akienda bungeni wanamwona! Sio huyo ambaye alikuwa anatokea ghafla wakati wa uchaguzi tu kama jipu!
 
Habari za Lema zimekuwa kama nyimbo za bongofleva. Haziuzi tena zinaboa.

Hivi hoja ilikuwa inamuhusu LEMA au ilikuwa inahusu hukumu ya kesi ya tarehe 5 lema katoka wapi na bongo fleva kama siyo kuna watu wanawashwa na LEMA haswa rejeo mzee zawadi na wengine wanao mtaja LEMA kwa mabaya.

LEMA tumchague sisi maendeleo yake hatuhoji sisi tulio mchagua wanahoji wanaowashwa na LEMA kumbukeni LEMA nichaguo la wanawa ARUSHA na hata asipofanya kitu tunaendelea kumchagua kiboko ya mapolisi kiboka ya ccm kiboko ya mafisadi.
 

Na katika kuhakikisha haki inatendeka, lazima Mwema siku moja asimame mahakamani kujibu mashitaka ya mauaji Arusha. Hata kama ni miaka 20 ijayo. Litakuwa funzo kwa wengine kuheshimu sheria.
 
Kasulu ya wapi ambayo jimbo lake liko wazi?

Haya ndiyo matatizo ya Rejeo, anajibu tu ilimradi anajiongezea number ya posts. Huoni yuko busy kuwadharau wageni humu wakati yeye kaingia tu JF last year halafu ana posts zaidi ya 4000 (average ya post 10 kila siku).
 
Rejao na kundi lako , kwa nini msiwe wastaarabu hata mara chache mkaacha watu wakajadili hoja badala ya kuingilia kila mara kwa matusi na kashfa ? Kwa nini mnafanya siasa kama uadui badala ya kujadili kwa amani na kuelimishana ?Mizozo hii na kupoteza muda resources nk mnapata nayo faida gani ?
 
Naheshimu sana mawazo yako Lunyungu,,,,,mimi nilichofanya ni kueleza views zangu kuhusu hii kesi inayoendelea...chakushangaza ni watu kuanza kunirukia! Naombeni kabla ya kureply post yangu muwe mnasisoma signature yangu!!

If you think I'm against what you believe...NIPOTEZEE!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…