Dondoo kutoka kwa chanzo cha habari cha ukweli:
- Mkutano wa Chadema ulikuwa funika mbaya.
- Helikopta iliongoza maandamano. Namaanisha helikopta ilikuwa juu ikienda mwenda wa raia, chini umati wa maelfu ya wananchi wakitembea kutoka afisi za Chadema kuelekea uwanja wa kampeni. Wa Jikoni anasema ilikuwa inaenda kijoti-joti. inastua kidogo, inaganda kidogo, mpaka uwanjani.
- Raia wako tayari kwa mabadiliko na wamejiapiza kuizika CCM kesho.
- Kura zitalindwa kwa gharama yoyote na mkurugenzi wa wilaya ametahadharishwa asijaribu kupindisha ukweli.
- Kura zitahesabiwa kituo kwa kituo, matokeo yakishapatikana, watu wataandamana kwenda ofisi za halmashauri kufanya hesabu za 'milinganyo sahili'.
- Kama hesabu jaitabalansi hapo kwenye (5) na CCM kujitangaza washindi, MOTO utawaka Igunga, Shinyanga, Mwanza, Arusha, Musoma, Dar Es Salaam, na popote ambapo kuna raia wanaotaka mabadiliko ya kweli.
- Polisi waliahidiwa posho za 30 000 kwa siku, lakini wanalipwa 5 000/ kwa siku. Nao hawadanganyiki japo hawawezi kusema hadharan
Chai kidogo:
Mh. Kasulubai(MB) kama mtoto wa Kigoma tu. Amesema CCM wameleta mchawi (mchawi kweli siyo masihara), lakini amewaambia Wana-Igunga kwamba huyo mchawi wao "agwinga ngogo gete bhaseya"
Jamani eeh, mnisamehe kuwacheleweshea updates...Wajikoni anapigiwa simu na watu wengi gafauti gafauti. wakati mwingine anaishiwa chaji.
CCM waacheni Wana-Igunga. Wanataka mabadiliko. Hatutaki kusikia mtu kapigwa risasi kafa tena huko. Mlikubali vyama vingi...sasa tunaomba mfaidi matunda yake, siyo kupiga fita.
Naenda kulala.