kuna kila dalili ya kuwa mambo ni magumu kwelikweli, vyovyote itakavyokuwa haijawa rahisi kwa serikali, na hii ni dalili kuwa kuna siku sio nyingi serikali itashindwa kutumia hata mahakama kama inavyotaka na kupenda. serikali na watendaji wake wajifunze kushughulikia matatizo kwa wakati na kuacha kusubiri mahakama iwasaidie kupiga danadana masuala ya msingi,kama ulinzi, afya na elimu
ubaya ni kwamba sikio la kufa halisikii dawa ,silaha yetu sisi walimu ni kutoa elimu itakayomaliza matatizo ya uongozi wa kisiasa ambayo yanaonekana ndio tatizo ifikapo 2015 huu ni wito kwa walimu wote tufanye hivyo mijini na vijijini