hukumu kesi ya lema

Status
Not open for further replies.
Wakuu nipo mahakama kuu ya Arusha Hali ni shwari na baraka tele za mvua spika zimewekwa kuwezesha wale waliofika mahakamani kufuatilia kwa umakini Jaji amemaliza kusoma submission za pande zote sasa ni determination of contentious issues! Nawasilisha kutoka mahakama kuu Arusha.
 
Kosa litakalofanywa ni kumhujumu Lema, hapo ndiyo ccm itaendelea kuporomoka kuelekea waliko akina KANU.

Kwa hakika kabisa. Iwapo ushindi wa Lema utatenguliwa itakuwa ni mbaya sana kwa ccm kuliko kwa Chadema. ukifanyika uchaguzi mdogo Arusha mjini CCM itashindwa tena, tena kwa kishindo kikubwa zaidi ya ile mara ya kwanza na hii itakuwa na impact kubwa sana kwa nchi nzima kwa uchaguzi mkuu wa 2015.
 
Sheria ni msumeno, msitegemee kubebwa kama Lema alitenda makosa; hatakwenda wiki ijayo mjengoni DOM
 
Wakuu nipo mahakama kuu ya Arusha Hali ni shwari na baraka tele za mvua spika zimewekwa kuwezesha wale waliofika mahakamani kufuatilia kwa umakini Jaji amemaliza kusoma submission za pande zote sasa ni determination of contentious issues! Nawasilisha kutoka mahakama kuu Arusha.

Asante kiongozi tulioko bukoba vijijini tuko tunafuatilia kwa umakini........hata jamaa yangu aliyeko maeneo ya Kanyigo field...mpakani na Uganda naye anasema ameibabatiza network hivyo kaacha kunipigia simu kila mara nimpe updates. Jitahidi kutupa habari mara kwa mara vinginevyo leo kazi haifanyiki. Niko kwenye mobile VCT waliojitokeza kupima kwa hiari ni wengi ila nadhani itabidi nisitishe kwanza
 
Kwa hakika kabisa. Iwapo ushindi wa Lema utatenguliwa itakuwa ni mbaya sana kwa ccm kuliko kwa Chadema. ukifanyika uchaguzi mdogo Arusha mjini CCM itashindwa tena, tena kwa kishindo kikubwa zaidi ya ile mara ya kwanza na hii itakuwa na impact kubwa sana kwa nchi nzima kwa uchaguzi mkuu wa 2015.

Wasije wakawanyima CDM kugombea tena. Maana TZ lolote laweza tokea.
 
ATTENTION!
Wenye taarifa na update watupie hapa,la sivyo kwa kuendekeza porojo tutakuwa tunapoteza seriousness ya huu uzi!
Ni mtazamo wangu tu!!
 
Acheni woga usio na sababu jamani; uzito wa kesi ulikuwa kwa walioshtaki. Vitu viwili vikubwa vilikuwa wazi... waliodaiwa kudhalilishwa hawakushtaki, na siku na mahali inapodaiwa kufanyika udhalilishaji huo hapakukubaliana na hata kilichosemwa hakijakubaliana. Ni kesi ya juu juu sana. Majaji wetu wako huru sana kama watamkuta Lema na hatia yoyote ni kutokana na uzito tu wa ushahidi; wala msiwape CCM credit yoyote ile. Binafsi sina wasiwasi hata chembe kuwa ubunge wa Lema utathibitishwa leo. Na nina uhakika wa 99.99 kuwa itakuwa hivyo. Tusiwaogope sana CCM na serikali kiasi cha kuona kuwa wanaweza kufanya lolote, kwa yeyote na wakati wowote vinginevyo itabidi tuanze kupeleka sadaka pale Lumumba!
 
ndugu zanguni kwa ukweli usiyofichika mpaka sasa lema hana kesi ya kujibu ..labda waliofungua kesi wakajipange upya ................................amen
 
Lenana; lete vitu lete vitu, si submissions tayari!!!! kinachoendelea ni nini sasa?????
 
Acheni woga usio na sababu jamani; uzito wa kesi ulikuwa kwa walioshtaki. Vitu viwili vikubwa vilikuwa wazi... waliodaiwa kudhalilishwa hawakushtaki, na siku na mahali inapodaiwa kufanyika udhalilishaji huo hapakukubaliana na hata kilichosemwa hakijakubaliana. Ni kesi ya juu juu sana. Majaji wetu wako huru sana kama watamkuta Lema na hatia yoyote ni kutokana na uzito tu wa ushahidi; wala msiwape CCM credit yoyote ile. Binafsi sina wasiwasi hata chembe kuwa ubunge wa Lema utathibitishwa leo. Na nina uhakika wa 99.99 kuwa itakuwa hivyo. Tusiwaogope sana CCM na serikali kiasi cha kuona kuwa wanaweza kufanya lolote, kwa yeyote na wakati wowote vinginevyo itabidi tuanze kupeleka sadaka pale Lumumba!

Duhh mzee unashusha presha kweli kweli, Maana za wengine zimeshapanda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom