hukumu kesi ya lema

hukumu kesi ya lema

Status
Not open for further replies.
Matokeo ya uchaguzi wa bwana Lema yamebatilishwa!
Lenana, nilikuwa nasubiri kauli yako kwa vile ulisema huko hapo ktk sehemu ya tukio: haina shida makamanda najua watajipanga upya na nafasi ya kurudi kundini ni kubwa.
 
Achana na mtu ambaye hayupo Arusha


Yaani mkuu hapa nilipo hata sijielewe.........na wanavyochelewa kuweka update ndio kabisaaaa, naweza jikuta ICU muda sio mrefu
 
Hata mkinitukana potelea mbali! Kwa yeyote anayejua jinsi hii kesi ilivyofunguliwa anijuze plz! Maana sielewi hii kesi imefunguliwa na ccm, mwananchi tu wa kawaida dhidi ya lema ama vp sijui kabisa! Kwani mashambulizi yanaenda kwa ccm (chama) na sio mtu kwa personal yake! Nijuzeni jamani nielewe, mlalamikaji ktk kesi hii ni ccm au mwananchi tu wa kawaida?
 
Acheni woga usio na sababu jamani; uzito wa kesi ulikuwa kwa walioshtaki. Vitu viwili vikubwa vilikuwa wazi... waliodaiwa kudhalilishwa hawakushtaki, na siku na mahali inapodaiwa kufanyika udhalilishaji huo hapakukubaliana na hata kilichosemwa hakijakubaliana. Ni kesi ya juu juu sana. Majaji wetu wako huru sana kama watamkuta Lema na hatia yoyote ni kutokana na uzito tu wa ushahidi; wala msiwape CCM credit yoyote ile. Binafsi sina wasiwasi hata chembe kuwa ubunge wa Lema utathibitishwa leo. Na nina uhakika wa 99.99 kuwa itakuwa hivyo. Tusiwaogope sana CCM na serikali kiasi cha kuona kuwa wanaweza kufanya lolote, kwa yeyote na wakati wowote vinginevyo itabidi tuanze kupeleka sadaka pale Lumumba!
Safi sana Mkuu, siku hizi umekuja na mtindo wa kujiamini 'tusiwape credit' wawe CCM, TISS, Polisi nk. Miaka ya 70, 80 mabalozi wa nyumba kumi walikuwa wakiheshimika sana, ilikuwa huwezi kununua gari kama hujapata baraka zao. Lakini taratibu walikuja kudharaulika, lakini pamoja na kudharaulika kwao kuna watu bado wanawapa credit. Hii ni kwa level ya vijijini na mitaani.

Kwa level ya watu wanaoonekana wameelimika hata humu JF bado wana mentality hiyo ya kuhusudu(kutoa credit) kwa vitu au watu, utasiki aa yule TISS bwana, lolote linaweza kutokea, NEC ni kila kitu nk. Binafsi nakiona kitendo hiki kama weakness fulani, kwa vile kadri unavyoonyesha kumuhusudu ndivyo opponent wako anavyozidi kukudharau. Mfano mzuri ukikutana uso kwa uso na simba lazima simba atastuka kwanza halafu atakuangalia kama utakimbia au miguu inatetemeka. Please guys be strong kama tunahitaji CCM ni wepesi sana, tumeona uchaguzi uliopita ni determination ya timu ndiyo iliyoshinda, lakini kama CDM wangesema tupige kura tusipige lazima CCM washinde na kweli CDM isingeshinda.
 
Leo magwanda yamepauka ghafla hapa mahakamani; UBUNGE WA LEMA UPO MIKONONI MWA MHESHIMIWA JAJI; hiki ni kipindi kigumu kwa wanachama, wafuasi, wapenzi, wapiga debe na wadau wa CDM. POLENI sana!!!
 
Kama wanajf wengine wanavyosema, nashauri wanachama wasio serious hapa ukumbini wafutiwe au wasimamishwe....

Huwezi kuleta utani kwenye vitu serious, wananchi wanasubiri taarifa za hukumu ya Mkuu Lema....hatutegemei watu waamke usingizini na kuleta viporo hapa.....
 
We unayejiita sura sio roho ni mshenzi wa tabia,kama ungekuwa karibu ningekuzaba mpaka uzimie,pumbavu zako.
 
Lazima tuwe wa kweli; kama Lema atakutwa na hatia kwanini asiondolewe? Kama ushahidi ni mkubwa dhidi yake mahakama haina jinsi isipokuwa kumkuta na hatia - hilo si credit kwa CCM au Lowassa au mtu yeyote. Ni ushahidi tu. Sasa, litakuwa ni funzo kwa wanasiasa wanaposimama majukwaani wachunge wanachosema! Lakini kama hatokutwa na hatia pia ni funzo kwa wengine kwa sababu tusiwape watu sababu hata ya kukata rufaa. Unashinda vizuri kwa uadilifu!
 
ubunge wa mh Lema umetenguliwa na mahakama leo. Nawapa pole wanaChadema,chama na bunge zima kwa kumkosa mbunge kijana. Natamani cdm wamsimamishe Lema jimbo lirudi!
 
Lema sio Mbunge tena, Makamanda tujipange kuchukuwa tena jimbo :eyeroll1:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom