OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 228
Ndiyo Wakuu ,Heshima kwenu ! Kwa mujibu wa taarifa toka kwa Wakili wa Lema ,ndgu Kimomogolo muda mfupi uliopita akiwa Mwanza kushughulikia Sintofahamu ya kesi ya Madiwani Mwanza, amedai kuwa jana amepokea taarifa toka Mahakama kuu ya Rufaa kuwa tarehe 21/12/2012 ndo itakuwa siku ya hukumu kutolewa. My take :- TUMWOMBE MUNGU ILI NURU ISHINDE GIZA .