WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Mkuu samahani unamaanisha nini kusema kwamba nuru ishinde,Nuru ni nani hapa,au ni nini??!!!!!!!!
Nuru hushinda giza siku zote
Mungu awaongoze Majaji watende haki.
Christmas itakua ya furaha sana! Wala hakuna hofu,matokeo yeyote hayana hasara kwa cdm bali kwa magamba.[/QUOTE]
Hujasomeka Mkuu,jaribu kufunguka hapa kwenye red!!!!!!
Mkuu Lokissa umepotea sana sijui ulikuwa Syria? maana naamini mawasiliano huko ni shida.
Tulishashinda, mungu yupo kwetu, sasa ni hitimisho tu
Naamini Mungu ataenda kutenda haki na ampe nguvu za ujasiri Ndug. G. Lema aweze kupokea hukumu iwayo yote ile!!!!
Nuru hushinda giza siku zote
Nuru = hakiFunguka mkuu,nani ni GIZA na nani ni NURU?!
kwani inawezekana lema akashindwa kupokea hukumu katika hali flani?