britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,189
- 48,239
Hukumu ikiwa ya namna gani ndo itashangaza wengi?Lumumba wanajua kuchanga karata zao kwa akili kubwa sana
Hukumu ya TL itawashangaza wengi
Lets wait and seeTaarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Wewe ndiye mwandishi wa hukumu?Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Kinyume na matarajio ya wengiHukumu ikiwa ya namna gani ndo itashangaza wengi?
Sawa sawa,Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Matarajio ya wengi ni yapi?Kinyume na matarajio ya wengi
Bwashee tembelea mitandaoni na mitaani, hapa tunapeana hints taarifa kamili utazisaka mwenyeweMatarajio ya wengi ni yapi?
Nani anayetarajia lissu kunyongwa,mara ya mwisho mru kunyongwa tz ni lini?Mh.TAL ataachiwa for free huku akiambiwa aende kutafuta asylum,
Wengi wanatarajia Lisu kunyongwa au kufungwa maisha Hilo futeni akili mwenu
Hao ndiyo wenyeNajaribu kuwaza umuhimu wa huu uzi. Modes wana kazi sana.
Ndugu yangu britanicca hili nalo lakufungulia uzi kama maelezo yameishia hapo?
Kiwango chako kama hua kipo juu na bora zaidi ya hapo Chief!!
Hao ndiyo wenye jf hupost chochote,wewe Uzi wako utahaririwa mpaka utashangaaNajaribu kuwaza umuhimu wa huu uzi. Modes wana kazi sana.
Ndugu yangu britanicca hili nalo lakufungulia uzi kama maelezo yameishia hapo?
Kiwango chako kama hua kipo juu na bora zaidi ya hapo Chief!!
LIssu atafungwa maishaBwashee tembelea mitandaoni na mitaani, hapa tunapeana hints taarifa kamili utazisaka mwenyewe
Mleta mada anasema anazishangaa habari zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu.Bwashee tembelea mitandaoni na mitaani, hapa tunapeana hints taarifa kamili utazisaka mwenyewe