Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 26,853
- 70,111
Kwa maeneo niliyopo umeme haukuwahi kukatika licha ya hali ya ukosekanaji wa umeme kwa muda unaondelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.
Leo naamka umeme hakuna nikajua ni luku imeisha kumbe tayari washachukua umeme wao.
Hali ni tete kwa wanaotegemea umeme kwenye kuendesha biashara zao, sijui hii changamoto itadumu mpaka lini?
TANESCO TANESCO TANESCO