Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Labda kuyaangamiza
Na ndicho wanachokifanya
Wakishiba maharage utasikia tutawauzia Umeme Zambia mara Uganda sijui nani aliwaroga badala ya kuzungumzia kutatua matatizo ya Wananchi wao wenyewe wanataka Sifa eti tutauza Umeme kwa bei ipi? Zambia nao watalipia kodi ya Ardhi kwenye umeme wenu? Mzee wa Tozo yupo kimya akiibuka atakuja na kiingereza kipya cha Tozo wapo busy huko kutohoa jina...
Hii nchi ina vituko sana yaani wauze umeme zambia wakati hapa ndani bado hali ni mbaya. Alieturoga kafa
 
Sahizi inauzwa 1000 na mtu kanunua soda anarudisha chupa Ina madowaa ya mshumaa, Sasa kutana na chinga mwenye taa za sola zina sura mbaya bei yake kama upo justfit
Ndio maisha kutembelea fursa makampuni ya solar yafyatue bidhaa soko kwa sasa lipo.
 
Back
Top Bottom