Huku ni kunitega au kunijaribu

Huku ni kunitega au kunijaribu

Habarini wakuu, niende kwenye lengo husika, nakumbuka nikiwa shule ya msingi darasa la sita kuna madam mmoja alikuwa ananifuatilia sana kila akiniona lazima ataniita na kuanza kujisemesha Fulani Leo mbona umechafuka hivyo hujachomekea, shati hujanyoosha na mambo mengine mbalimbali.

Nilimzoea sana kwa maneno yake ikafika mahali nikienda ofisini kupeleka daftari kama hakuna walimu ananiita nikae pembeni yake na kuanza kunihoji maswali ya hapa na pale kuhusu somo lake, kisha naondoka nilichukulia kawaida sana wala sikuumiza kichwa kuwaza kingine kiumri nilikuwa mdogo.

Siku moja aliniita na kuanza kunisifia Fulani Leo umependeza sana punguza Michezo usichechafuka kama watoto wengine napenda nikuone ukiwa msafi muda wote nikamjibu sawa mwalimu, akiwa na walimu wenzake hanisemeshi anapita kimya kimya nilikuwa nikishangaa kwa nini madam Leo hujanisemesha wakati huo nimetoka kucheza mpira na kuluka salakasi vumbi mwanzo mwisho.

Nakumbuka ilikuwa siku ya mtihani wa kufunga muhula darasa la sita mwezi wa kumi na mbili somo la kiswahili madam kaja kusimamia, nilikuwa nimekaa na rafiki angu saizi ni msanii wa bongo fleva tumekaa upande wa katikati dawati la nyuma, madam akaja upande niliokaa Mimi akasimama kwa muda sana kama mtu mwenye wasiwasi mwingi akiangalia huku na huku anaenda mbele kidogo analudi nyuma tena akifika nilipo kaa nashindwa kuandika naanza kutetemeka nilikuwa sipendi kusimamiwa kalibu na mwalu wakati nikiwa kwenye mtihani.

Baada ya muda madam akasogea taratibu akaegemea ukuta kisha akaniponda chaki kichwani nikajikausha kama vile sikuona akaniponda nyingine nikainua kichwa kumtazama, hahaha nilishangaa madam ameshika karatasi kwa upande yenye majibu ya kiswahili moja mpaka hamsini, akaniambia kwa ishara andika haraka, mwanaume sikuchelewa nikajipinda kuandika majibu yote, baada ya kumaliza madam akaondoka kaenda kukaa mbele kwenye kiti, baadhi ya wanafunzi wenzangu walishitukia na jamaa angu aliona ule mchezo, nae nikampatia majibu ya maswali 44 tu mengine nikamdanganya tusije fanana hakuwa na uwezo sana darasani mwalimu wa somo asije shitukia.

Kwa kuogopa kupata 50 ya 50 nikajikoshesha maswali mawili kitu ambacho nilifanya kosa kubwa sana, mwanafunzi mmja wa mkondo A alipata 49, na Mimi 48 sikuongoza katika somo hilo, iliniuma sana madam akaniita akaniuliza Fulani imekuwaje nikamwambia nilichanganya wakati naandika, akasema sawa siyo mbaya lakini tokea hapo madam akaenda masomoni tukamaliza shule sijawahi kumuona tena mpaka leo, swali nalojiuliza alikuwa ananitega au alikuwa ananipenda kama mwanafunzi wake lakini kwanini alinipa majibu peke angu na kunifuatilia kila mala, sijawahi pata majibu kwa kweli, ebu ndugu zangu mniambie hii ilikuwa kunitega ama, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe buana unakuja kujaza saver za jf tu,kwa akili yako kweli mtoto wa darasa la sita ulikua na kifanyio cha kumfanya maddam akutege?,nyie ndio mnaishusha jf hadhi kwa post zisizo na kichwa wala miguu,mod futa huu uchafu!!!

Kama hukuwa na cha kuchangia ungepita kimya mkuu wangapi wamesoma wakapita kimya usijifanye uko smart sana kila uzi unaotolewa hapa ndani unakuza jf, nimeeleza kile kilichonikuta kinachokuuma wewe nini, hapo ndipo mwisho wa akili yako kufikili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka O level kuna Ticha mmoja wa English madam Nyalusi alikua ananizimia vibaya mno
 
Haya mambo yamewakuta wengi sana kwa umri wangu wa kipindi kile sikuelewa chochote lakini mpka Leo sijawahi pata jibu kule ni kunitega ama alikuwa na nia njema na mimi sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu, niende kwenye lengo husika, nakumbuka nikiwa shule ya msingi darasa la sita kuna madam mmoja alikuwa ananifuatilia sana kila akiniona lazima ataniita na kuanza kujisemesha Fulani Leo mbona umechafuka hivyo hujachomekea, shati hujanyoosha na mambo mengine mbalimbali.

Nilimzoea sana kwa maneno yake ikafika mahali nikienda ofisini kupeleka daftari kama hakuna walimu ananiita nikae pembeni yake na kuanza kunihoji maswali ya hapa na pale kuhusu somo lake, kisha naondoka nilichukulia kawaida sana wala sikuumiza kichwa kuwaza kingine kiumri nilikuwa mdogo.

Siku moja aliniita na kuanza kunisifia Fulani Leo umependeza sana punguza Michezo usichechafuka kama watoto wengine napenda nikuone ukiwa msafi muda wote nikamjibu sawa mwalimu, akiwa na walimu wenzake hanisemeshi anapita kimya kimya nilikuwa nikishangaa kwa nini madam Leo hujanisemesha wakati huo nimetoka kucheza mpira na kuluka salakasi vumbi mwanzo mwisho.

Nakumbuka ilikuwa siku ya mtihani wa kufunga muhula darasa la sita mwezi wa kumi na mbili somo la kiswahili madam kaja kusimamia, nilikuwa nimekaa na rafiki angu saizi ni msanii wa bongo fleva tumekaa upande wa katikati dawati la nyuma, madam akaja upande niliokaa Mimi akasimama kwa muda sana kama mtu mwenye wasiwasi mwingi akiangalia huku na huku anaenda mbele kidogo analudi nyuma tena akifika nilipo kaa nashindwa kuandika naanza kutetemeka nilikuwa sipendi kusimamiwa kalibu na mwalu wakati nikiwa kwenye mtihani.

Baada ya muda madam akasogea taratibu akaegemea ukuta kisha akaniponda chaki kichwani nikajikausha kama vile sikuona akaniponda nyingine nikainua kichwa kumtazama, hahaha nilishangaa madam ameshika karatasi kwa upande yenye majibu ya kiswahili moja mpaka hamsini, akaniambia kwa ishara andika haraka, mwanaume sikuchelewa nikajipinda kuandika majibu yote, baada ya kumaliza madam akaondoka kaenda kukaa mbele kwenye kiti, baadhi ya wanafunzi wenzangu walishitukia na jamaa angu aliona ule mchezo, nae nikampatia majibu ya maswali 44 tu mengine nikamdanganya tusije fanana hakuwa na uwezo sana darasani mwalimu wa somo asije shitukia.

Kwa kuogopa kupata 50 ya 50 nikajikoshesha maswali mawili kitu ambacho nilifanya kosa kubwa sana, mwanafunzi mmja wa mkondo A alipata 49, na Mimi 48 sikuongoza katika somo hilo, iliniuma sana madam akaniita akaniuliza Fulani imekuwaje nikamwambia nilichanganya wakati naandika, akasema sawa siyo mbaya lakini tokea hapo madam akaenda masomoni tukamaliza shule sijawahi kumuona tena mpaka leo, swali nalojiuliza alikuwa ananitega au alikuwa ananipenda kama mwanafunzi wake lakini kwanini alinipa majibu peke angu na kunifuatilia kila mala, sijawahi pata majibu kwa kweli, ebu ndugu zangu mniambie hii ilikuwa kunitega ama, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
angalia asije kukubaka
 
Ulikuwa mjinga tu hio ilikuwa chakula sisi tukiwa la kwanza ndo tulikuwa na hayo maswali yako tulipofika la pili tukapata majibu. La nne tukaanza kufanyia kazi majibu kwa matendo la tano tukaanza kuona matokeo ya majibu tuliyoyafanyia kazi.

Ngoja nikusaidie uache ushamba, Huyo alikuwa anataka umgegede. Ungemwambia mwalimu nakupenda angekulea pole pole huku ukimtafuna. Mbona kanumba alimfanyia hivo Lulu jifunze kwa wengine na uwe na akili. Janjaro mdogo mdogo Anarap na madiii akiwa la nne huku Irene Uwoya akiwa mama anapetiwa petiwa na akina Rei na Mzee yakob Dogo kaona muvi akaweka nia ya kumpata japo kadogo kweli sasa hivi anamiliki mzigo.

Amka changamka tafuta mzigo popote ulipo. Nenda Shuleni ulizia Namba yake.
Hapa kazi tu

[emoji1] [emoji1] [emoji1] bonge ya ushauri ntaufanyia kazi kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu hakuna hata mmoja kati yenu aliyetokea kupendwa na Mwl. jinsia ya kiume?

Mimi sijui yule Mwl. alinipenda, au alinichukia. Aisee, akiingia darasani mtu wa kwanza kumuulizia ni mimi. Kwenda kununua vitafunwa na kuwaandalia chai walimu ni mimi, kuanzisha kuimba wimbo wa taifa mstarini ni mimi, kuwa monitor na mpiga kengele wakati wa break alinichagua mimi, kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzangu ni mimi tu, nikifanya kosa kidogo napigwa fimbo zisizokuwa na idadi aisee Mwl. Kidifu nakukumbuka sana!
 
Habarini wakuu, niende kwenye lengo husika, nakumbuka nikiwa shule ya msingi darasa la sita kuna madam mmoja alikuwa ananifuatilia sana kila akiniona lazima ataniita na kuanza kujisemesha Fulani Leo mbona umechafuka hivyo hujachomekea, shati hujanyoosha na mambo mengine mbalimbali.

Nilimzoea sana kwa maneno yake ikafika mahali nikienda ofisini kupeleka daftari kama hakuna walimu ananiita nikae pembeni yake na kuanza kunihoji maswali ya hapa na pale kuhusu somo lake, kisha naondoka nilichukulia kawaida sana wala sikuumiza kichwa kuwaza kingine kiumri nilikuwa mdogo.

Siku moja aliniita na kuanza kunisifia Fulani Leo umependeza sana punguza Michezo usichechafuka kama watoto wengine napenda nikuone ukiwa msafi muda wote nikamjibu sawa mwalimu, akiwa na walimu wenzake hanisemeshi anapita kimya kimya nilikuwa nikishangaa kwa nini madam Leo hujanisemesha wakati huo nimetoka kucheza mpira na kuluka salakasi vumbi mwanzo mwisho.

Nakumbuka ilikuwa siku ya mtihani wa kufunga muhula darasa la sita mwezi wa kumi na mbili somo la kiswahili madam kaja kusimamia, nilikuwa nimekaa na rafiki angu saizi ni msanii wa bongo fleva tumekaa upande wa katikati dawati la nyuma, madam akaja upande niliokaa Mimi akasimama kwa muda sana kama mtu mwenye wasiwasi mwingi akiangalia huku na huku anaenda mbele kidogo analudi nyuma tena akifika nilipo kaa nashindwa kuandika naanza kutetemeka nilikuwa sipendi kusimamiwa kalibu na mwalu wakati nikiwa kwenye mtihani.

Baada ya muda madam akasogea taratibu akaegemea ukuta kisha akaniponda chaki kichwani nikajikausha kama vile sikuona akaniponda nyingine nikainua kichwa kumtazama, hahaha nilishangaa madam ameshika karatasi kwa upande yenye majibu ya kiswahili moja mpaka hamsini, akaniambia kwa ishara andika haraka, mwanaume sikuchelewa nikajipinda kuandika majibu yote, baada ya kumaliza madam akaondoka kaenda kukaa mbele kwenye kiti, baadhi ya wanafunzi wenzangu walishitukia na jamaa angu aliona ule mchezo, nae nikampatia majibu ya maswali 44 tu mengine nikamdanganya tusije fanana hakuwa na uwezo sana darasani mwalimu wa somo asije shitukia.

Kwa kuogopa kupata 50 ya 50 nikajikoshesha maswali mawili kitu ambacho nilifanya kosa kubwa sana, mwanafunzi mmja wa mkondo A alipata 49, na Mimi 48 sikuongoza katika somo hilo, iliniuma sana madam akaniita akaniuliza Fulani imekuwaje nikamwambia nilichanganya wakati naandika, akasema sawa siyo mbaya lakini tokea hapo madam akaenda masomoni tukamaliza shule sijawahi kumuona tena mpaka leo, swali nalojiuliza alikuwa ananitega au alikuwa ananipenda kama mwanafunzi wake lakini kwanini alinipa majibu peke angu na kunifuatilia kila mala, sijawahi pata majibu kwa kweli, ebu ndugu zangu mniambie hii ilikuwa kunitega ama, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo kuna mawili, either baba yako alikuwa anatembea na huyo madam au wewe umekuwa adopted kule halafu mama yako au ndugu yako ni huyo madame
 
Back
Top Bottom