Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,517
- 185,651
lol karoho kangu jamani...
lol karoho kangu jamani...
Sasa hivi ndo umekua Sasa unamkumbuka madam hahahah haya bana, balehe mbaya Sana ukiwa huna Dem inakufanya ukumbuke vitu vya ajabHabarini wakuu, niende kwenye lengo husika, nakumbuka nikiwa shule ya msingi darasa la sita kuna madam mmoja alikuwa ananifuatilia sana kila akiniona lazima ataniita na kuanza kujisemesha Fulani Leo mbona umechafuka hivyo hujachomekea, shati hujanyoosha na mambo mengine mbalimbali.
Nilimzoea sana kwa maneno yake ikafika mahali nikienda ofisini kupeleka daftari kama hakuna walimu ananiita nikae pembeni yake na kuanza kunihoji maswali ya hapa na pale kuhusu somo lake, kisha naondoka nilichukulia kawaida sana wala sikuumiza kichwa kuwaza kingine kiumri nilikuwa mdogo.
Siku moja aliniita na kuanza kunisifia Fulani Leo umependeza sana punguza Michezo usichechafuka kama watoto wengine napenda nikuone ukiwa msafi muda wote nikamjibu sawa mwalimu, akiwa na walimu wenzake hanisemeshi anapita kimya kimya nilikuwa nikishangaa kwa nini madam Leo hujanisemesha wakati huo nimetoka kucheza mpira na kuluka salakasi vumbi mwanzo mwisho.
Nakumbuka ilikuwa siku ya mtihani wa kufunga muhula darasa la sita mwezi wa kumi na mbili somo la kiswahili madam kaja kusimamia, nilikuwa nimekaa na rafiki angu saizi ni msanii wa bongo fleva tumekaa upande wa katikati dawati la nyuma, madam akaja upande niliokaa Mimi akasimama kwa muda sana kama mtu mwenye wasiwasi mwingi akiangalia huku na huku anaenda mbele kidogo analudi nyuma tena akifika nilipo kaa nashindwa kuandika naanza kutetemeka nilikuwa sipendi kusimamiwa kalibu na mwalu wakati nikiwa kwenye mtihani.
Baada ya muda madam akasogea taratibu akaegemea ukuta kisha akaniponda chaki kichwani nikajikausha kama vile sikuona akaniponda nyingine nikainua kichwa kumtazama, hahaha nilishangaa madam ameshika karatasi kwa upande yenye majibu ya kiswahili moja mpaka hamsini, akaniambia kwa ishara andika haraka, mwanaume sikuchelewa nikajipinda kuandika majibu yote, baada ya kumaliza madam akaondoka kaenda kukaa mbele kwenye kiti, baadhi ya wanafunzi wenzangu walishitukia na jamaa angu aliona ule mchezo, nae nikampatia majibu ya maswali 44 tu mengine nikamdanganya tusije fanana hakuwa na uwezo sana darasani mwalimu wa somo asije shitukia.
Kwa kuogopa kupata 50 ya 50 nikajikoshesha maswali mawili kitu ambacho nilifanya kosa kubwa sana, mwanafunzi mmja wa mkondo A alipata 49, na Mimi 48 sikuongoza katika somo hilo, iliniuma sana madam akaniita akaniuliza Fulani imekuwaje nikamwambia nilichanganya wakati naandika, akasema sawa siyo mbaya lakini tokea hapo madam akaenda masomoni tukamaliza shule sijawahi kumuona tena mpaka leo, swali nalojiuliza alikuwa ananitega au alikuwa ananipenda kama mwanafunzi wake lakini kwanini alinipa majibu peke angu na kunifuatilia kila mala, sijawahi pata majibu kwa kweli, ebu ndugu zangu mniambie hii ilikuwa kunitega ama, nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sivyo hivyo mkuu nilishashindwa kuelewa binti anapokutega anakuaje kimatendo nimekutana na mkasa chuo binti mmoja alianza mazoea ya ajabu ajabu nikamfananisha na madam cha ajabu rafiki ake kaniambia acha kuzubaa binti kakupenda huyo, weee thubutu ile kumweleza nilichotamkiwa nakikumbuka mpka keshoSasa hivi ndo umekua Sasa unamkumbuka madam hahahah haya bana, balehe mbaya Sana ukiwa huna Dem inakufanya ukumbuke vitu vya ajab
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hayo hua ni majib ya kawaida Sana, we rudia Tena rudia. Tena rudia Tena hata Mara kumi atakubal tuSivyo hivyo mkuu nilishashindwa kuelewa binti anapokutega anakuaje kimatendo nimekutana na mkasa chuo binti mmoja alianza mazoea ya ajabu ajabu nikamfananisha na madam cha ajabu rafiki ake kaniambia acha kuzubaa binti kakupenda huyo, weee thubutu ile kumweleza nilichotamkiwa nakikumbuka mpka kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijamsema vibaya baada ya kijitambua nilipatwa na haya mawazo hivi kile kilikuwa ni nini, na sikuwahi kusema siri hii toka nasoma adi namaliza masomoI guess we all had that kind of teacher during our school days
So usimsome mwalimu vbaya inatokea tu kawaida hio mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maneno aliyotumia kama ni binadamu unayejitambua vizuri sidhani kama unaweza msimamisha tena, pia mwanamke akinitukana sina nguvu tena ya kumfuata ata kama alikuwa ananijalibuMbona hayo hua ni majib ya kawaida Sana, we rudia Tena rudia. Tena rudia Tena hata Mara kumi atakubal tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana Kama amekutukana achana nae, labda akama angekua tu kakupa majib ya kiistarabu, mpotezee huyoMkuu maneno aliyotumia kama ni binadamu unayejitambua vizuri sidhani kama unaweza msimamisha tena, pia mwanamke akinitukana sina nguvu tena ya kumfuata ata kama alikuwa ananijalibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yangekuwa yakistaarabu ningeendelea tena niliacha kabisaPole Sana Kama amekutukana achana nae, labda akama angekua tu kakupa majib ya kiistarabu, mpotezee huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wakuu, niende kwenye lengo husika, nakumbuka nikiwa shule ya msingi darasa la sita kuna madam mmoja alikuwa ananifuatilia sana kila akiniona lazima ataniita na kuanza kujisemesha Fulani Leo mbona umechafuka hivyo hujachomekea, shati hujanyoosha na mambo mengine mbalimbali.
Nilimzoea sana kwa maneno yake ikafika mahali nikienda ofisini kupeleka daftari kama hakuna walimu ananiita nikae pembeni yake na kuanza kunihoji maswali ya hapa na pale kuhusu somo lake, kisha naondoka nilichukulia kawaida sana wala sikuumiza kichwa kuwaza kingine kiumri nilikuwa mdogo.
Siku moja aliniita na kuanza kunisifia Fulani Leo umependeza sana punguza Michezo usichechafuka kama watoto wengine napenda nikuone ukiwa msafi muda wote nikamjibu sawa mwalimu, akiwa na walimu wenzake hanisemeshi anapita kimya kimya nilikuwa nikishangaa kwa nini madam Leo hujanisemesha wakati huo nimetoka kucheza mpira na kuluka salakasi vumbi mwanzo mwisho.
Nakumbuka ilikuwa siku ya mtihani wa kufunga muhula darasa la sita mwezi wa kumi na mbili somo la kiswahili madam kaja kusimamia, nilikuwa nimekaa na rafiki angu saizi ni msanii wa bongo fleva tumekaa upande wa katikati dawati la nyuma, madam akaja upande niliokaa Mimi akasimama kwa muda sana kama mtu mwenye wasiwasi mwingi akiangalia huku na huku anaenda mbele kidogo analudi nyuma tena akifika nilipo kaa nashindwa kuandika naanza kutetemeka nilikuwa sipendi kusimamiwa kalibu na mwalu wakati nikiwa kwenye mtihani.
Baada ya muda madam akasogea taratibu akaegemea ukuta kisha akaniponda chaki kichwani nikajikausha kama vile sikuona akaniponda nyingine nikainua kichwa kumtazama, hahaha nilishangaa madam ameshika karatasi kwa upande yenye majibu ya kiswahili moja mpaka hamsini, akaniambia kwa ishara andika haraka, mwanaume sikuchelewa nikajipinda kuandika majibu yote, baada ya kumaliza madam akaondoka kaenda kukaa mbele kwenye kiti, baadhi ya wanafunzi wenzangu walishitukia na jamaa angu aliona ule mchezo, nae nikampatia majibu ya maswali 44 tu mengine nikamdanganya tusije fanana hakuwa na uwezo sana darasani mwalimu wa somo asije shitukia.
Kwa kuogopa kupata 50 ya 50 nikajikoshesha maswali mawili kitu ambacho nilifanya kosa kubwa sana, mwanafunzi mmja wa mkondo A alipata 49, na Mimi 48 sikuongoza katika somo hilo, iliniuma sana madam akaniita akaniuliza Fulani imekuwaje nikamwambia nilichanganya wakati naandika, akasema sawa siyo mbaya lakini tokea hapo madam akaenda masomoni tukamaliza shule sijawahi kumuona tena mpaka leo, swali nalojiuliza alikuwa ananitega au alikuwa ananipenda kama mwanafunzi wake lakini kwanini alinipa majibu peke angu na kunifuatilia kila mala, sijawahi pata majibu kwa kweli, ebu ndugu zangu mniambie hii ilikuwa kunitega ama, nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera yako mkuu ulie kamili kila idara, kushindwa kutofautisha R na L sio sababu ya kushindwa shule je unayajua mazingira niliyokulia wewe, kosoa kisha elimisha ili nijifunze siyo kwa lugha uliyotumia, shule nilienda kutembea hongela yako ulieenda kusoma.Inaelekea ulikuwa si mwanafunzi mzuri, yaani kilaza kwani naona hata mwandiko wako hujuwi kabisa kutofautisha R na L uandikapo lugha yako Mama. Hivi watu kama nyie mlikuwa mnafanya nini shuleni?
Kuna mijitu inabisha ulihali haya mambo yapo sana mashuleni huko kuanzia msingi na elimu za juumadam akikupenda ni hatari,imewahi nitokea huko rubya miaka hiyo,hadi darasa zima lilijua.Anyway yote ni majibu mkuu