luche1
Senior Member
- Jan 18, 2017
- 144
- 107
- Thread starter
- #101
hii kitu ni real mkuuKuna mijitu inabisha ulihali haya mambo yapo sana mashuleni huko kuanzia msingi na elimu za juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee sa tangia kipind hicho upo darasa LA sita mpaka Leo unamfikiria huyo mwalim!!! KhaaHabarini wakuu, niende kwenye lengo husika, nakumbuka nikiwa shule ya msingi darasa la sita kuna madam mmoja alikuwa ananifuatilia sana kila akiniona lazima ataniita na kuanza kujisemesha Fulani Leo mbona umechafuka hivyo hujachomekea, shati hujanyoosha na mambo mengine mbalimbali.
Nilimzoea sana kwa maneno yake ikafika mahali nikienda ofisini kupeleka daftari kama hakuna walimu ananiita nikae pembeni yake na kuanza kunihoji maswali ya hapa na pale kuhusu somo lake, kisha naondoka nilichukulia kawaida sana wala sikuumiza kichwa kuwaza kingine kiumri nilikuwa mdogo.
Siku moja aliniita na kuanza kunisifia Fulani Leo umependeza sana punguza Michezo usichechafuka kama watoto wengine napenda nikuone ukiwa msafi muda wote nikamjibu sawa mwalimu, akiwa na walimu wenzake hanisemeshi anapita kimya kimya nilikuwa nikishangaa kwa nini madam Leo hujanisemesha wakati huo nimetoka kucheza mpira na kuluka salakasi vumbi mwanzo mwisho.
Nakumbuka ilikuwa siku ya mtihani wa kufunga muhula darasa la sita mwezi wa kumi na mbili somo la kiswahili madam kaja kusimamia, nilikuwa nimekaa na rafiki angu saizi ni msanii wa bongo fleva tumekaa upande wa katikati dawati la nyuma, madam akaja upande niliokaa Mimi akasimama kwa muda sana kama mtu mwenye wasiwasi mwingi akiangalia huku na huku anaenda mbele kidogo analudi nyuma tena akifika nilipo kaa nashindwa kuandika naanza kutetemeka nilikuwa sipendi kusimamiwa kalibu na mwalu wakati nikiwa kwenye mtihani.
Baada ya muda madam akasogea taratibu akaegemea ukuta kisha akaniponda chaki kichwani nikajikausha kama vile sikuona akaniponda nyingine nikainua kichwa kumtazama, hahaha nilishangaa madam ameshika karatasi kwa upande yenye majibu ya kiswahili moja mpaka hamsini, akaniambia kwa ishara andika haraka, mwanaume sikuchelewa nikajipinda kuandika majibu yote, baada ya kumaliza madam akaondoka kaenda kukaa mbele kwenye kiti, baadhi ya wanafunzi wenzangu walishitukia na jamaa angu aliona ule mchezo, nae nikampatia majibu ya maswali 44 tu mengine nikamdanganya tusije fanana hakuwa na uwezo sana darasani mwalimu wa somo asije shitukia.
Kwa kuogopa kupata 50 ya 50 nikajikoshesha maswali mawili kitu ambacho nilifanya kosa kubwa sana, mwanafunzi mmja wa mkondo A alipata 49, na Mimi 48 sikuongoza katika somo hilo, iliniuma sana madam akaniita akaniuliza Fulani imekuwaje nikamwambia nilichanganya wakati naandika, akasema sawa siyo mbaya lakini tokea hapo madam akaenda masomoni tukamaliza shule sijawahi kumuona tena mpaka leo, swali nalojiuliza alikuwa ananitega au alikuwa ananipenda kama mwanafunzi wake lakini kwanini alinipa majibu peke angu na kunifuatilia kila mala, sijawahi pata majibu kwa kweli, ebu ndugu zangu mniambie hii ilikuwa kunitega ama, nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vzuri uelewe mkuuHeeee sa tangia kipind hicho upo darasa LA sita mpaka Leo unamfikiria huyo mwalim!!! Khaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata mkuuAcha kuwaza mbali, hiyo kawaida tu ulitokea kua mwanafunzi wake mpendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe ulitakiwa umuulize, ticha nini kinafuata baada ya huu mchezo?Habarini wakuu, niende kwenye lengo husika, nakumbuka nikiwa shule ya msingi darasa la sita kuna madam mmoja alikuwa ananifuatilia sana kila akiniona lazima ataniita na kuanza kujisemesha Fulani Leo mbona umechafuka hivyo hujachomekea, shati hujanyoosha na mambo mengine mbalimbali.
Nilimzoea sana kwa maneno yake ikafika mahali nikienda ofisini kupeleka daftari kama hakuna walimu ananiita nikae pembeni yake na kuanza kunihoji maswali ya hapa na pale kuhusu somo lake, kisha naondoka nilichukulia kawaida sana wala sikuumiza kichwa kuwaza kingine kiumri nilikuwa mdogo.
Siku moja aliniita na kuanza kunisifia Fulani Leo umependeza sana punguza Michezo usichechafuka kama watoto wengine napenda nikuone ukiwa msafi muda wote nikamjibu sawa mwalimu, akiwa na walimu wenzake hanisemeshi anapita kimya kimya nilikuwa nikishangaa kwa nini madam Leo hujanisemesha wakati huo nimetoka kucheza mpira na kuluka salakasi vumbi mwanzo mwisho.
Nakumbuka ilikuwa siku ya mtihani wa kufunga muhula darasa la sita mwezi wa kumi na mbili somo la kiswahili madam kaja kusimamia, nilikuwa nimekaa na rafiki angu saizi ni msanii wa bongo fleva tumekaa upande wa katikati dawati la nyuma, madam akaja upande niliokaa Mimi akasimama kwa muda sana kama mtu mwenye wasiwasi mwingi akiangalia huku na huku anaenda mbele kidogo analudi nyuma tena akifika nilipo kaa nashindwa kuandika naanza kutetemeka nilikuwa sipendi kusimamiwa kalibu na mwalu wakati nikiwa kwenye mtihani.
Baada ya muda madam akasogea taratibu akaegemea ukuta kisha akaniponda chaki kichwani nikajikausha kama vile sikuona akaniponda nyingine nikainua kichwa kumtazama, hahaha nilishangaa madam ameshika karatasi kwa upande yenye majibu ya kiswahili moja mpaka hamsini, akaniambia kwa ishara andika haraka, mwanaume sikuchelewa nikajipinda kuandika majibu yote, baada ya kumaliza madam akaondoka kaenda kukaa mbele kwenye kiti, baadhi ya wanafunzi wenzangu walishitukia na jamaa angu aliona ule mchezo, nae nikampatia majibu ya maswali 44 tu mengine nikamdanganya tusije fanana hakuwa na uwezo sana darasani mwalimu wa somo asije shitukia.
Kwa kuogopa kupata 50 ya 50 nikajikoshesha maswali mawili kitu ambacho nilifanya kosa kubwa sana, mwanafunzi mmja wa mkondo A alipata 49, na Mimi 48 sikuongoza katika somo hilo, iliniuma sana madam akaniita akaniuliza Fulani imekuwaje nikamwambia nilichanganya wakati naandika, akasema sawa siyo mbaya lakini tokea hapo madam akaenda masomoni tukamaliza shule sijawahi kumuona tena mpaka leo, swali nalojiuliza alikuwa ananitega au alikuwa ananipenda kama mwanafunzi wake lakini kwanini alinipa majibu peke angu na kunifuatilia kila mala, sijawahi pata majibu kwa kweli, ebu ndugu zangu mniambie hii ilikuwa kunitega ama, nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alienda masomoni sijawahi kumuona tena hadi LeoSasa wewe ulitakiwa umuulize, ticha nini kinafuata baada ya huu mchezo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu upuuzi wenu Wa insta na fb tafafhali huku hatuutaki[emoji1318]
KAMA UPO KWA AJILI YA KUSOMA COMMENTS KAMA MIMI,
GONGA LIKE TWENDE SAWA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa insta mkuu.... Ndo wana hiyo michezo..
Ni muda mrefu sana umepita miaka 16 atakuwa keshaolewa ana ndoa yake
Bora umepatikana na wewe nilianza onekana muongo na member mmoja jepha 2003Mkuu uko sahihi kabisa.. Huyo mwalimu alikua amekupenda kimapenzi...
Hata mimi imenitokea... Kuna mwalimu kanisumbua sana darasa la tano mpaka la saba.. Tena alikua hataki hata nisimame na wanafunzi wa kike..
Na hayo yote ya kuchafuka alinifanyia...
Alikua mwalimu wa jografia na uraia... Namtafuta sijui atakua wapi mwaka huu.. Nimgegede.
Maana alikua binti mdogo tu kipindi kile.
Sent using Jamii Forums mobile app