Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Wadada mmezidi sasa, hivi ni kweli chips sahani moja huwa mnashindwa kumaliza?
Huo ni uongo, haiwezekani chips sahani moja mnakula wanawake wawili. Kibaya zaidi hata soda mna-share.
Hivi kama ni kweli, mkienda chooni huwa mnatoa nini? maana chips zenyewe za Dar hazijai hata kisosi halafu mnakula wawili. Dah..! KWELI MJINI PAGUMU
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Last edited by a moderator: