Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,200
- 50,819
weka picha....
kuna wadada nimechungulia kwenye simu zao naona wapo jf na wameagiza niwapelekee sahani moja
weka picha....
Hahaha kunbe mnajuana eeh??Hahahahha jamani tuacheni tuna-maintain sisi. But usiombe wengine uwakute home, hiyo menu yake utasema sio yule aliyebakiza kiepe
Hahaha kunbe mnajuana eeh??
Kuna siku nilitoka na rafiki yangu tukaagiza burger...nikala nusu ...mpaka nilijisikia vibaya...maana yeye ndio aliye suggest twende hiyo sehemu...akauliza kama sikuipenda nikamwambia nimeshiba sana...yani nilikunywa chai late huku najua nina outing ya lunch...ela yangu iliniumaje sasa...maana burger za hotel bei yake si kama mgahawa...