Huku ndio ushenzini kwetu

mkuhu pole sanah mkuhu hunahonekana shidah myngih sanah pole mkuhu sanah
 

Eeh ndo ukubwa huo mkuu!
 
kama vipi nipm nije nikusaidie michepuko hiyo.
miye ndio mtaalamu wa watu kama hao...!?
 
haya ila lawama sitaki
Du pole Mpare
Mimi nilileta mahindi toka Kibaigwa Dodoma
km wananusa vile nilisifiwa na nikazungusha round
asubuhi aliyeununua mzigo akanipa nauli ya kurudi Dom, kanipigia hesabu kanilipia usafiri Scania tani 15, ushuru wa s0k0 na alizonitangulizia (advance)
Hapo Manzese sikanyagi tena
 

am sure ulikuwa pande za Sweet Corner, kubaya kule hakuendani kabisa na jina lake natamani paitwe SOUR CORNER
 

Hahahahahahahahha
 

Iliwahi kunitokea, nilifanya apointiment na mdada mmoja yeye akaja na masosti wake wanne kama kuwatambishia kuwa kampata mwenye nazo, bahati nzuri waleti yangu ilikuwa nene, nilichofanya sikumuonyesha dalili zozote kuwa ameniudhi, nikawapigisha round za kutosha na nyama choma baadae nikamwita mmoja wa mashoti wake nikondoka naye nikaenda nikamgonga halafu tukarudi, alifura kama mbogo!!!!!
 

dawa ya moto ni faya
 

Ndio maana mi maongezi nafanyiaga lodge, ndaniiiiiiii...najua huko tunakuwa wawili tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
siku nyingine ukiona wamekuja kundi waambie kabisa kwamba hapa mwendo ni ngumu kumeza kavu kavu bila kuchanganya bila supu uone kama atafanya tena ujinga huo
 
Ahahahaha nilikuwa na demu mitaa ya Ndugumbi-Magomeni siku ya date ya kwanza akaja na Mama yake,dada zake 2 na kaka yake Mao!!

Nilishangaa sana kwa kweli ka elfu kangu 16 kaliisha kwenye soda tu nikawaambia wazi kama sina hela wakaondoka wote huku wanatukana kila tusi unalo lijua wewe aahhahaha
 
Hahahahahahahahha
Du siku ingine nikajitosa Mrina Bar
Mabaamedi wkati wanafunga wakajazana meza yangu nikasambaza kila mmoja bia 2
acha wapigane
basi nikakimbia ku-Room ikajifanya nina demu mwingine
NDIPO NILIPOPONEA KUWAGEGEDA HAO WANAWAKE
maana Abdalla kichwa wazi hakusimama kabisa Konyagi
mshana jr siku hizi nafikia Bondeni ya zamani pale kidogo kimya unaweza lala na mauzo hata ya mahindi tani 15
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…