Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 785
Mkuu siyo kwamba kama ni kweli bali hata mi hilo tangazo nililisikia, halafu watanzania hatuna tabia ya kuhifadhi kumbukumbu pia kuna tangazo lingine nalo pia tujiandae kisaikojia, hili ni la nguo za mitumba, hili nalo lilitangazwa tangu 2016 nadhani wanasubiri viwanda vya nguo tu vikamilike, vikikamilika tu hakuna nguo za mitumba kuletwa nchini.Serikali imejiandaaje huo muda wote kama ni kweli? Halafu kama walikuwa wanaongezewa muda ni kosa kubwa. Kwa kiongozi aliye makini anasema eg baada ya mwaka mmoja na nusu kuanzia siku fulani ni mwisho wa matumizi ya mifuko ya plastic. Kipindi hichi cha mpito zinatafutwa njia nyingine mbadala za ku-replace hiyo mifuko.