Hapa serikali imebuni chanzo kipya cha mapato. Askari wanaweza kukubambikizia mifuko ya plastiki ili iwe "fundisho" kwa wengine.Kuwa sheria ya mifuko ya plastic itafunga wengi.
Ni vyema kulinda mazingira.Kweli tutasombwa sana kwa hiyo adhabu..