Huku hivi , kule vile ! Na mzigo ni uleule ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,776
Why is that , when you transport something by Car it is called a
SHIPMENT.
But when you transport something by Ship it is called a
CARGO ?
Na mzigo ni uleule?
Kufuatia kwangu kua si mahiri katika lugha ya kizungu nimeshindwa kuelewa tofauti ya SHIPMENT , CARGO .
Na kuna mahusiano gani kati ya neno CONSIGMENT, na hayo yalipo juu ? Wataalamu tafadhali msaada.
 
mmh....mi hata sijui.....

You're the one amon' of them whereby i depend to teach me English.
I'm lookin for online Teachers !
Could anybody assist me with improvin that for a resonable price ?
I know there many places brought courses and price vary, but it's expensive for me , i can't afford for.
Hiki kilichobemendwa nnacho ki'force kukiandika hapa sijakipata shuleni, bali nilibahatika kuajiriwa na kampuni ya wazungu , nikaokota kiasi flani , (kiasi cha mboga! )
So far in short i have everythin i need to practice and learn English via language exchange .
Na kinachonihangaisha ni hao wazungu soon later wananihitaji nikafunge mabox hukohuko kwao Chicago.
Ndo nafanya maandalizi ya lugha nikifika huko mawasiliano yawe easy.
 
Shipment sio lazima iwe ni gari, hata kusafirisha kwa meli, treni, ndege...vivyo hivyo kwa neno Cargo.
Jaribu kufuatilia dictionaries tofauti...reference yangu ni Collins Cobuild Advanved Dictionary for Android
 
Thanks Baba Charmy !
Ntaifanyia kazi comment yako, poleni na kizazaa cha free prisoner naona kaishupalia couple ya Binti .
 
lugha gongana,consignment ni maagizo mzigo upokelewe na nani (ambaye ataitwa consignee),cargo ndo mzigo halisi na shipment ni mchakato wa kuusafirisha na ndo maana zoezi zima linaitwa 'cargo shipment' na anayethibitisha kupokea mzigo melini anaitwa 'ship master' na anasaini document inaitwa 'bill of lading' na pia kuandaa kitu inaitwa 'ship manifest' ambayo ni orodha ya mizigo aliyobeba.
 
Thanks mkuu maelezo yametulia!
 
Wafundishe wenzio jamani, acha roho mbaya. Ujue ukienda Chicago utamkuta Judgement and he will judge you kama kitoto cha Nyani? Shaurilo!

King'asti !
Thanks kunijali ! Eventhough wewe vision yako nilikwishailewa! Katika wadada wa humu bado sijapata wa kukufananisha nae!
Nilikutambua kwenye ile thrade yangu ya "my ex female teacher" you have widely capacity vision !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom