X-Agent
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,974
- 17,073
Cheki uzi wangu juu, USA sio kama Bongo land mpaka makamu wa Raisi asijue HOD wake kavuta kamba.Acheze golf wapi,picha za jacket jeusi akicheza golf ni za scotland ziara ya juzi
Cheki uzi wangu juu, USA sio kama Bongo land mpaka makamu wa Raisi asijue HOD wake kavuta kamba.Acheze golf wapi,picha za jacket jeusi akicheza golf ni za scotland ziara ya juzi
Kwani ni kweli?? Si bado anahudumiwaInasikitisha sana
😂😂😂😂Isije ikawa wazee wa mtandao wamarekani au Urusi wamefanya yao baada ya Tdrump kukutana na Putin ili kuchochea vita zao.
Sasa hoja yako ni ipi hapa? Ushoga? Maisha kuwa rahisi? Au wee kushobokewa kisa hicho kinokia chako ukiwa shule?Kabisa hasa kukumbatia ushoga na mambo ya hovyo.wakati huo huo China kasi inazidi kua kubwa kuna muda najiuliza asingeibuka mchina kurahisisha maisha sijui ingekuaje aiseee miaka 15 nyuma ukiwa na smart phone wewe Don. Nakumbuka school nilikua na Nokia N75 shobo zilikua kibao yaani inaonekana simu kali lakini sasa simu hata ukiwa nayo ya 10M sio big deal tena.
😂😂😂😂😂