Huko X(twitter) kinachovuma ni Trump kung'ata shuka

Huko X(twitter) kinachovuma ni Trump kung'ata shuka

Kachukue,ujaze utumie
Ndio akili zako zilipoishia hapo za kuua sisimizi na kumkumbatia dereva wa bodaboda ili usianguke.

Mbona Libya wanaume walikuwa wanaozeshwa wanawake kama wewe burebure tu. Huduma za kijamii kama hospital, elimu ni bure sasa kwa buku inashindikana nini au wewe unaubia na Rosta
 
Nenda mtwara kafukue gesi ujaze mitungi yako utumie
 
Hili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko tayari kuchukua nafasi ya trump ikiwa lolote litatokea
Screenshot_20250831-082421_1.jpg
Screenshot_20250831-082621_1.jpg
Screenshot_20250831-082501_1.jpg
 
Kabisa hasa kukumbatia ushoga na mambo ya hovyo.wakati huo huo China kasi inazidi kua kubwa kuna muda najiuliza asingeibuka mchina kurahisisha maisha sijui ingekuaje aiseee miaka 15 nyuma ukiwa na smart phone wewe Don. Nakumbuka school nilikua na Nokia N75 shobo zilikua kibao yaani inaonekana simu kali lakini sasa simu hata ukiwa nayo ya 10M sio big deal tena.
Mchina na Mjapan wameiheshimisha sana Dunia. Wamesaidia sana watu wachini duniani. Ingekuwa hawa wakoloni mpaka Leo tungekuwa tunasafiria punda...Unakumbuka hata saa za mkononi enzi hizo zilikuwa shida Kwa mtu wa chini kuvaa? Siku hizi watu hata hawakumbuki saa na hata thamani yake
 
The radical jihadists in their trademark character of cooking up the fake stories mostly in their religious places commonly known as masjid have once again concocted a fake story purporting to show that the US president Mr. Donald Trump has passed away.🤣🤣🤣

Wamarekani wenyewe ndiyo wanatoa hizo story,masjid wala hakuhusiki, ndiyo maana jana wamefosi atoke walau kwa kificho ficho, lakini bado wamarekani wanakataa yule siyo Trump, punguza obsession na masjid
 
Back
Top Bottom