Ni kweli kabisa ndio maana wanaokaribia kupoteza wanataka dunia iingie tena kwenye vita kubwa ili baada ya vita waunde tena kamati yao ya kuendelea kuichapa dunia kwa maslahi yao ila Trump anaonekana kutaka kuwatumia wao kama nguvukazi yakeIla ukiangalia trend ya marekani kwa sasa duniani unaona kabisa ni nchi inayopeteza ushawishi na usuper power kwa kasi sana.