Huko ulikokulia hamna wanaume?

Huko ulikokulia hamna wanaume?

Inawezekana.
Lakini pia kama alikuwa anaangalia porno za binadamu na wanyama inaweza kuwa chanzo. Kuota unafukuzwa na wanyama ni kawaida tu hasa ukilala chali au ukilala vibaya kiasi kwamba haupumui vizuri. Namshauri asilale chali na kukandamiza chogo. Madaktari wanaweza kutuelezea vizuri. Sky Eclat .. at al.
Mkuu sijawahi angalia porn zozote zile... Ila Mara nyingi naota ndoto chafu! Naota huyo jamaa ananikimbiza nakimbia mbele kuna shimo.. Mara naota amekuwa kichaa ananitukana niikipita barabarani.. Yani jamani sielewi hizi ndoto zimenitokea zaidi ya Mara mia moja..
 
Babu sitakiii saivi nataka nihame huu ukoo mshaanza kubagua.... Yani pasaka imeanza hadi imeisha hujui mjukuu wako mzm au anaumwaaa undugu na ufe tena ikibidi nikumiliki mwenyewe[emoji4] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Tangu lini damu ikarudi ilipotokea... wewe mtoto mmh

Tangu leo

Unataka laana wewe.. eeh jieleze kabla sijashika bakora yangu


Jamani nime sabscribe huu Uzi.....acheni jamani
Unataka laana wewe.. eeh jieleze kabla sijashika bakora yangu
 
Unataka laana wewe.. eeh jieleze kabla sijashika bakora yangu
Hivi hujui Mfano km bb kasafiri au ka**a mi ndiyo nashika nafasi yke[emoji39] [emoji4]

CC:espy
 
Tulikutana chuo mkuu... Alinitongoza nikakataa, aliendelea kunisumbua na kunitambulisha kwa ndugu zake, nikaona ana nia ya dhati. Tukaenda kwao wakanifahamu vizuri mahusiani yetu yakawa rasmi kabisa,.
Alikuwa amepanga chumba kati ya nyumba yenye vyumba wivili.
Siku moja nilimuuliza mbona hatuingii chumbani kwake? Akasema haina haja kwa vile kuna biblia kule anaogopa kulala kule, akawa anasisitiza sana nimpeleke kwetu, nikanuomba tumalize ile semista kwanza..
Ila nikaenda kule chumbani kwake akiwa bafuni nikakuta vitu vya ajabu (kibuyu pembe ya ng'ombe) sasa alihisi kabisa kuwa nimeona akaniita sebuleni,

akaniambia nilipokutongoza ulikataa mbona Leo upo hapa??? Si uondoke?? Nani ana shida na wewee? Kwanza huko ulikokuwa unaishi Hamna wanaume ukawa bikra hadi Leo? Mie nimehangaika kukutoa alafu unaenda kumpa MTU hiyo Ku.m..a ikiwa ya moto bila kizuizi?

Akakaa kidogo akaanza kutoa maneno mengi zaidi na zaidi.. Nilihisi kupaa nilibeba pochi Yangu nikaondoka mbio...
Sikuwahi kujibu Meseji wala kupokea simu yake hadi leo.

Sasa Mara zaidi ya mia namuota yuko na kisu ananikimbiza siku nyingine namuota akiwa hana kisu ananikimbiza.. Miaka mitano sasa hiyo ndoto inajirudia
Pole sana Dada ulikua unaishi na mchawi wa kiwango cha juu na bado anaendelea kukufuatilia itakubidi uangaike sana usiku na mchana mpaka hali itakapo tulia hili ni fundisho tosha kwa wadada wengine hata kwetu sisi wanaume usikurupuke tu ukamfuata mtu ambaye humjui vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom