Huko ulikokulia hamna wanaume?

Huko ulikokulia hamna wanaume?

Kuna baadhi ya mistari hapo inaonekana alikukuta au aligundua una mwanaume mwingine ndo akakutolea hayo maneno. Hebu sema ukweli kwanza kabla sijatoa ushauri wangu.
Mkuu akiwa bafuni niliingia kwenye hicho chumba nikakuta hayo...
 
Mkuu akiwa bafuni niliingia kwenye hicho chumba nikakuta hayo...
Na akagundua kuwa nimeona hiyo midude yake ... Kiukweli in MTU aliyekuwa akisali sana sana tena.
mno.... Sikutegemea
 
Mkuu akiwa bafuni niliingia kwenye hicho chumba nikakuta hayo...
Nimefuatilia hii habari haina mtiririko mzuri unaweza kosa ushauri kwa sababu hiyo, kwanini usitulie ukaandika kisa kizima kwenye post ya mwanzo?

mfano alipoenda bafuni ulikuta vitu gani? Na hii ilikuwa wapi huko Musoma au wapi? Nini kilitokea baada ya hapo? Alikuambia nini, yaani weka mtiririko mzuri.
 
Mshana junior chief excutive where ar u?some one need ur help plz?
 
Nimefuatilia hii habari haina mtiririko mzuri unaweza kosa ushauri kwa sababu hiyo, kwanini usitulie ukaandika kisa kizima kwenye post ya mwanzo?

mfano alipoenda bafuni ulikuta vitu gani? Na hii ilikuwa wapi huko Musoma au wapi? Nini kilitokea baada ya hapo? Alikuambia nini, yaani weka mtiririko mzuri.
Mkuu kuna mahali nimeelezea vizuri kuwa niliona pembe ya ng"ombe na kibuyu na makopo mengi. Alihisi nitakuwa nimeingia huko akavaa maramoja akaja sebuleni na akatoa maneno ya kunibeza sana.
 
Asante mkuu.. Nilipoachana nae nilisali sana jamani mnoi!! Nilikuwa na spirit kali ya kusali nilipata mume tukafunga ndoa..... Nikamsahau KBS... Sasa shida imeanza tena jamani... Naota tu na ananijia kichwani sanasana!!!!! Kiukwel nateseka sana......
Kazana kuomba, waweza kukosa watoto badae na na akakuvurugia ndoa yako, simama ktk kweli
 
Wadau hadi sasa hamjajua tu mnaongea na mtu mwenye shida ya kisaikolojia au ya kiakili?Niwie radhi hapo kiakili sikusudii kukudhalilisha bali kutafuta chanzo cha tatizo ili usaidiwe. Hapo hakuna pepo wala uchawi. Saikolojia tu ukizingatia katolewa bikra alafu jamaa lenyewe lililomtoa bikra halieleweki katili flani lazima ulidhanie mchawi.
Alishapata mume na akasahau yaliyopita kuota unafanya mapenz na wanyama hasa chui, ngombe, mbwa, au unakimbizwa na nyoka haya ni majin anapaswa kuomba kweli na yataomtoka
 
Asante mkuu..
Nimewahi kuombewa Mara kadhaa

1. Mchingaji aliyeniombea usiku nikamuota amegeuka pepo anataka kinibaka nikaachana nae nikaenda pengine..
2. Akaniombea vzr tu... Maombi ya nguvu usiku nikaota ananiambia kwamba yule shetani alitoka kabisa ila alijificha njiani nilipopita akaniingia tena.kiukweli sina raha kabisa!

Mh!?
 
Alishapata mume na akasahau yaliyopita kuota unafanya mapenz na wanyama hasa chui, ngombe, mbwa, au unakimbizwa na nyoka haya ni majin anapaswa kuomba kweli na yataomtoka
Inawezekana.
Lakini pia kama alikuwa anaangalia porno za binadamu na wanyama inaweza kuwa chanzo. Kuota unafukuzwa na wanyama ni kawaida tu hasa ukilala chali au ukilala vibaya kiasi kwamba haupumui vizuri. Namshauri asilale chali na kukandamiza chogo. Madaktari wanaweza kutuelezea vizuri. Sky Eclat .. at al.
 
Huniamkii eeh
Babu sitakiii saivi nataka nihame huu ukoo mshaanza kubagua.... Yani pasaka imeanza hadi imeisha hujui mjukuu wako mzm au anaumwaaa undugu na ufe tena ikibidi nikumiliki mwenyewe[emoji4] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Tangu lini damu ikarudi ilipotokea... wewe mtoto mmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom