Huko ulikokulia hamna wanaume?

Huko ulikokulia hamna wanaume?

Asante mkuu..
Nimewahi kuombewa Mara kadhaa

1. Mchingaji aliyeniombea usiku nikamuota amegeuka pepo anataka kinibaka nikaachana nae nikaenda pengine..
2. Akaniombea vzr tu... Maombi ya nguvu usiku nikaota ananiambia kwamba yule shetani alitoka kabisa ila alijificha njiani nilipopita akaniingia tena.kiukweli sina raha kabisa!
alikutamkia hayo maneno wkt mko kwenye hali gani?
mmeishi muda gani?
kwa sasa yuko wapi na wewe uko wapi?
mna watoto?
jibu hayo maswali tujue namna ya kukusaidia
 
alikutamkia hayo maneno wkt mko kwenye hali gani?
mmeishi muda gani?
kwa sasa yuko wapi na wewe uko wapi?
mna watoto?
jibu hayo maswali tujue namna ya kukusaidia
Mkuu.. Nilikuwa kwake.
Hakukua na tatizo lolote! Tulikuwa kawaida aliniambia " nilipokutongoza ulikataa mbona sasahivi uko hapa? Halafu hiko kwenu hakukuwa na wanaume( akimaanisha why I was virgn)

mahusiano yetu Yalidumu miezi minne!
Kwao ni musoma kwetu moshi..
 
Huyo kakutupia mapepo wala usiende kwa mganga, kua imani ,Sali na tafuta Mchungaji asiyetumia nguvu za Giza mana hutopata mwanaume tena kakutupia majini
 
Asante mkuu..
Nimewahi kuombewa Mara kadhaa

1. Mchingaji aliyeniombea usiku nikamuota amegeuka pepo anataka kinibaka nikaachana nae nikaenda pengine..
2. Akaniombea vzr tu... Maombi ya nguvu usiku nikaota ananiambia kwamba yule shetani alitoka kabisa ila alijificha njiani nilipopita akaniingia tena.kiukweli sina raha kabisa!
Maombi yana miiko yake
kama uliombewa bado ukaendelea katika njia ambazo hazimpendezi Mungu lazima hayo mambo yakurudie tena

zingatiA sana unapoamuwa kumfuata kristo unatakiwa kujikana mwenyewe (kujizuia kutenda uovu wowote ule
unafuata kristo pekee) mfuate kristo sio kwa majaribio Bali kwa kweli yote

NB hata kama ukiota ndo umemaliza kuombewa usikate tamaa songa mbele kwa kumtumikia Mungu
 
Huyo kakutupia mapepo wala usiende kwa mganga, kua imani ,Sali na tafuta Mchungaji asiyetumia nguvu za Giza mana hutopata mwanaume tena kakutupia majini
Asante mkuu.. Nilipoachana nae nilisali sana jamani mnoi!! Nilikuwa na spirit kali ya kusali nilipata mume tukafunga ndoa..... Nikamsahau KBS... Sasa shida imeanza tena jamani... Naota tu na ananijia kichwani sanasana!!!!! Kiukwel nateseka sana......
 
Hiyo ni kasheshe.........................................hapo inawezekana wanga unahusika.........
 
nilivyoona tu umeandika kimasai nikaona kweli ngoma ngumu
😛😛😛😛
 
Binti unakimbilia wapi tulia andika kinachoeleweka? Kwa hiyo wewe kuambiwa tu kwenu hakuna wanaume ndio uumie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom