Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Haha... hapa labda ninja stunter akipita anaweza kuleta ufafanuzinilivyoona tu umeandika kimasai nikaona kweli ngoma ngumu
😛😛😛😛

Tulikutana chuo mkuu... Alinitongoza nikakataa, aliendelea kunisumbua na kunitambulisha kwa ndugu zake, nikaona ana nia ya dhati. Tukaenda kwao wakanifahamu vizuri mahusiani yetu yakawa rasmi kabisa,.Dada unakisa kitamu ila umeandika harakaharaka juu juu, nimekuelewa kidogo huyo jamaa atakua mchawi tu hebu tueleze mlipokutana na anajishughulisha na nini na ilikuaje mkaachana ili tuweze kuonganisha matukio na kutoa ushauri utakao kusaidia
Jieleze vzr ili usaidiwe ushauri wa maana sio unaandika ovyo kama hutaki tuelewe tutakushauri vp?Aliniambia mpenzi aliyenitoa bikra. Ni baada ya kunipeleka kwao ila baadae nikaanza kuhisi ni mchawi. Aliniambia hivyo makusudi ili niumie maana alijua nitamuacha. Kama ni wewe ungejisikiaje? Ungejipa faraja gani ili uwe salama!
Hadi sasa huwa naota ananinyang'anya mtoto au ananichoma kisu. Pia Mara baada ya kuachana nae nimekuwa nikiota nafanya mapenzi na wanyama kama ng'ombe na viumbe vingine vya ajabu.
Majoka yananikimbiza sana usingizini na kuota naanguka shimoni.. (Simihusishi yeye moja kwa moja)ila nijikomboe vipi?
NISHAURINI NAJUTA KUMFAHAMU NA PIA NAJUTA KUJIHUSISHA NAE.
eb nieleweshe sina nilichoelewaNgumu kumesa hii.
hapa kidogo umeeleweka pole sana jitahidi kwenda kwenye maombi na usiache na uwe na imaniTulikutana chuo mkuu... Alinitongoza nikakataa, aliendelea kunisumbua na kunitambulisha kwa ndugu zake, nikaona ana nia ya dhati. Tukaenda kwao wakanifahamu vizuri mahusiani yetu yakawa rasmi kabisa,.
Alikuwa amepanga chumba kati ya nyumba yenye vyumba wivili.
Siku moja nilimuuliza mbona hatuingii chumbani kwake? Akasema haina haja kwa vile kuna biblia kule anaogopa kulala kule, akawa anasisitiza sana nimpeleke kwetu, nikanuomba tumalize ile semista kwanza..
Ila nikaenda kule chumbani kwake akiwa bafuni nikakuta vitu vya ajabu (kibuyu pembe ya ng'ombe) sasa alihisi kabisa kuwa nimeona akaniita sebuleni,
akaniambia nilipokutongoza ulikataa mbona Leo upo hapa??? Si uondoke?? Nani ana shida na wewee? Kwanza huko ulikokuwa unaishi Hamna wanaume ukawa bikra hadi Leo? Mie nimehangaika kukutoa alafu unaenda kumpa MTU hiyo Ku.m..a ikiwa ya moto bila kizuizi?
Akakaa kidogo akaanza kutoa maneno mengi zaidi na zaidi.. Nilihisi kupaa nilibeba pochi Yangu nikaondoka mbio...
Sikuwahi kujibu Meseji wala kupokea simu yake hadi leo.
Sasa Mara zaidi ya mia namuota yuko na kisu ananikimbiza siku nyingine namuota akiwa hana kisu ananikimbiza.. Miaka mitano sasa hiyo ndoto inajirudia
Anasema uache umbea dunia kubwa huwezi elewa kila kitu [emoji16][emoji16][emoji125] [emoji125] [emoji125]eb nieleweshe sina nilichoelewa
Heee makubwa haya na tafuta msaada haraka maana mchawi kashakufanyia mauchawiTulikutana chuo mkuu... Alinitongoza nikakataa, aliendelea kunisumbua na kunitambulisha kwa ndugu zake, nikaona ana nia ya dhati. Tukaenda kwao wakanifahamu vizuri mahusiani yetu yakawa rasmi kabisa,.
Alikuwa amepanga chumba kati ya nyumba yenye vyumba wivili.
Siku moja nilimuuliza mbona hatuingii chumbani kwake? Akasema haina haja kwa vile kuna biblia kule anaogopa kulala kule, akawa anasisitiza sana nimpeleke kwetu, nikanuomba tumalize ile semista kwanza..
Ila nikaenda kule chumbani kwake akiwa bafuni nikakuta vitu vya ajabu (kibuyu pembe ya ng'ombe) sasa alihisi kabisa kuwa nimeona akaniita sebuleni,
akaniambia nilipokutongoza ulikataa mbona Leo upo hapa??? Si uondoke?? Nani ana shida na wewee? Kwanza huko ulikokuwa unaishi Hamna wanaume ukawa bikra hadi Leo? Mie nimehangaika kukutoa alafu unaenda kumpa MTU hiyo Ku.m..a ikiwa ya moto bila kizuizi?
Akakaa kidogo akaanza kutoa maneno mengi zaidi na zaidi.. Nilihisi kupaa nilibeba pochi Yangu nikaondoka mbio...
Sikuwahi kujibu Meseji wala kupokea simu yake hadi leo.
Sasa Mara zaidi ya mia namuota yuko na kisu ananikimbiza siku nyingine namuota akiwa hana kisu ananikimbiza.. Miaka mitano sasa hiyo ndoto inajirudia
Tulikutana chuo mkuu... Alinitongoza nikakataa, aliendelea kunisumbua na kunitambulisha kwa ndugu zake, nikaona ana nia ya dhati. Tukaenda kwao wakanifahamu vizuri mahusiani yetu yakawa rasmi kabisa,.
Alikuwa amepanga chumba kati ya nyumba yenye vyumba wivili.
Siku moja nilimuuliza mbona hatuingii chumbani kwake? Akasema haina haja kwa vile kuna biblia kule anaogopa kulala kule, akawa anasisitiza sana nimpeleke kwetu, nikanuomba tumalize ile semista kwanza..
Ila nikaenda kule chumbani kwake akiwa bafuni nikakuta vitu vya ajabu (kibuyu pembe ya ng'ombe) sasa alihisi kabisa kuwa nimeona akaniita sebuleni,
akaniambia nilipokutongoza ulikataa mbona Leo upo hapa??? Si uondoke?? Nani ana shida na wewee? Kwanza huko ulikokuwa unaishi Hamna wanaume ukawa bikra hadi Leo? Mie nimehangaika kukutoa alafu unaenda kumpa MTU hiyo Ku.m..a ikiwa ya moto bila kizuizi?
Akakaa kidogo akaanza kutoa maneno mengi zaidi na zaidi.. Nilihisi kupaa nilibeba pochi Yangu nikaondoka mbio...
Sikuwahi kujibu Meseji wala kupokea simu yake hadi leo.
Sasa Mara zaidi ya mia namuota yuko na kisu ananikimbiza siku nyingine namuota akiwa hana kisu ananikimbiza.. Miaka mitano sasa hiyo ndoto inajirudia
Kumb,, nd maan alipta ujasiri wa kukuambia hivo……!!Musoma kwao...kwetu arusha
Hahahaaa itabidi utafune tuuu....!!!Ngumu kumesa hii.
Kuna baadhi ya mistari hapo inaonekana alikukuta au aligundua una mwanaume mwingine ndo akakutolea hayo maneno. Hebu sema ukweli kwanza kabla sijatoa ushauri wangu.Tulikutana chuo mkuu... Alinitongoza nikakataa, aliendelea kunisumbua na kunitambulisha kwa ndugu zake, nikaona ana nia ya dhati. Tukaenda kwao wakanifahamu vizuri mahusiani yetu yakawa rasmi kabisa,.
Alikuwa amepanga chumba kati ya nyumba yenye vyumba wivili.
Siku moja nilimuuliza mbona hatuingii chumbani kwake? Akasema haina haja kwa vile kuna biblia kule anaogopa kulala kule, akawa anasisitiza sana nimpeleke kwetu, nikanuomba tumalize ile semista kwanza..
Ila nikaenda kule chumbani kwake akiwa bafuni nikakuta vitu vya ajabu (kibuyu pembe ya ng'ombe) sasa alihisi kabisa kuwa nimeona akaniita sebuleni,
akaniambia nilipokutongoza ulikataa mbona Leo upo hapa??? Si uondoke?? Nani ana shida na wewee? Kwanza huko ulikokuwa unaishi Hamna wanaume ukawa bikra hadi Leo? Mie nimehangaika kukutoa alafu unaenda kumpa MTU hiyo Ku.m..a ikiwa ya moto bila kizuizi?
Akakaa kidogo akaanza kutoa maneno mengi zaidi na zaidi.. Nilihisi kupaa nilibeba pochi Yangu nikaondoka mbio...
Sikuwahi kujibu Meseji wala kupokea simu yake hadi leo.
Sasa Mara zaidi ya mia namuota yuko na kisu ananikimbiza siku nyingine namuota akiwa hana kisu ananikimbiza.. Miaka mitano sasa hiyo ndoto inajirudia
katupatia kwakweli hivi hajui umbea ni mzuri kwa afyaAnasema uache umbea dunia kubwa huwezi elewa kila kitu [emoji16][emoji16][emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila wewe mtoto ni mbea. Nimekushindwa aseeh ngoja nipitie nikutafsiriekatupatia kwakweli hivi hajui umbea ni mzuri kwa afya
Huniamkii eehHahahaaa itabidi utafune tuuu....!!!