TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Wewe haujaelewa nimeuliza kama kumeila sehemu? Yaani kama kuna mgodi unatema huko pesa nje nje? Ukisema kumeila wazee wa migodi wanaelewa wakina Ngosha.Ushasema walikua wanaenda kwenye makaa ya mawe, sasa unataka uambiwe nini tena?
On the way to Canada, US and UK through Mozambique then South Africa. Vijana wa kisomali hawajalala hata kidogo linapokuja suala la kutafuta maisha ughaibuni ndugu.Wewe haujaelewa nimeuliza kama kumeila sehemu?yaani kama kuna mgodi unatema huko pesa nje nje.?ukisema kumeila wazee wa migodi wanaelewa wakina Ngosha .
Ugaidi wao niniTusiwachekee hawa magaidi, popote pale walipo hapa Tanzania inabidi wakamatwe tu na kurudishwa makwao
Wakisaidiwa na serikali hasa ya Mkapa na Mwinyi'Kwenye miti hakuna wajenzi'! Watz tumebweteka, watu wa nje ndio wanaona fursa!
Ukisema kumeila watakuelewa wasukuma tu.Wewe haujaelewa nimeuliza kama kumeila sehemu?yaani kama kuna mgodi unatema huko pesa nje nje.?ukisema kumeila wazee wa migodi wanaelewa wakina Ngosha .
Hao jamaa huwa hawatabiriki.... Bora wakikamatwa tu warudishwe makwao. Huwezi mtambua mtu mwema kwa kumtazama machoni.Ugaidi wao nini
Ukimrudisha asubuhi jioni anaanza kupanga safari nyingine. Tanzania imekua lango la kuingia South Africa kama ilivyo Spain kuingia Ulaya.Hao jamaa huwa hawatabiriki.... Bora wakikamatwa tu warudishwe makwao. Huwezi mtambua mtu mwema kwa kumtazama machoni.
Hao ni wapita njiaHabari wanabodi!
Katika taarifa ya habari ya leo wakati natazama hapa ITV kuna gari kubwa imepata ajari kule Handeni watu wa tatu wamefariki.
Polisi wamefanikiwa kuwakamata wasomalia kama 15 waliokuwa wakisafiri wanaelekea Songea kwenye makaa ya mawe, sasa hapa ndio najiuliza huko Songea kuna nini cha ajabu mpaka watu wavuke mipaka yote waende Songea?
Kama kuna fursa nyingi tuambiane, haiwezekani watu wavuke mipaka yote waje mpaka Bongo wakati wenyewe wabongo hatujui kama kumeila huko.
Kama kuna mgodi umetema tuambiane ,tuwahi na moko zetu huko bombi nyumbi.
Unafikiri kwenda canada na usa ni sawa na kwenda Mtwara wadanganye wajinga wenzioOn the way to Canada, US and UK through Mozambique then South Africa. Vijana wa kisomali hawajalala hata kidogo linapokuja suala la kutafuta maisha ughaibuni ndugu.
Ukisha fika South Africa unawezaje kwenda Canada?On the way to Canada, US and UK through Mozambique then South Africa. Vijana wa kisomali hawajalala hata kidogo linapokuja suala la kutafuta maisha ughaibuni ndugu.
Somalia na Ethropua hakuna rasilamali Zinazovuma hapa Afrika hivyo hawana cha kupoteza hivyo vijana wa kitanzania kuiga kijana msomali/muhabeshi ni kujipotezea muda.On the way to Canada, US and UK through Mozambique then South Africa. Vijana wa kisomali hawajalala hata kidogo linapokuja suala la kutafuta maisha ughaibuni ndugu.
Kwenda Canada, US au UK sometimes sio suala la umbali bali ni suala la urahisi wa raia wa nchi hiyo kwenda nchi nyingine. South Africa ni kama kijisehemu ka nchi hizo.Ukisha fika South Africa unawezaje kwenda Canada?
Kama huna ujuzi na mambo haya kaa kimya tu dude. Niwadanganye wajinga wenzangu kwa maslahi gani. Elewa tu kwamba ni rahisi mno kutoka South Africa kwenda first world countries kuliko ilivyo kwa nchi yoyote ya Africa-labda Mauritius.Unafikiri kwenda canada na usa ni sawa na kwenda Mtwara wadanganye wajinga wenzio