Huko Songea kuna maajabu gani mpaka Wasomali wakimbilie huko?

Mkwaju wa south africa , nchi nyingi za ulaya ni free visa , ni vile tu wa south hawapendi safari,
Wasomali wakifika south huwa wanatambulika kama wakimbizi na hivyo wanapambana kupata refugee passport ya south africa ambayo ina privileges za free visa kwenye nchi nyingi .safari yao kwenda canada haiwi ngumu kama sisi wakiwa sa
 
Somalia na Ethropua hakuna rasilamali Zinazovuma hapa Afrika hivyo hawana cha kupoteza hivyo vijana wa kitanzania kuiga kijana msomali/muhabeshi ni kujipotezea muda.
Tanzania kuna migodi bubu mingi sana ya kujichimbia tu na kutoka maisha tena bika kodi.
Tanzania kuna maziwa makubwa 3 yanayotoa samaki muda wote ie Tanganyika Viktoria na Rukwa.
Tanzania ina mabonde oevu ya kulima mwaka mzima ambayo ni Rufiji,Kilombero, Ruaha/Usangu, Nyasa kagera, Kilimanjaro,Malagarasi nk
Tanzania kuna ardhi yenye rutuba isiohitaji mbolea mikoa ya Kagera,Kigoma,Songea,Mbeya,Tanga,Morogoro, Pwani, Lindi mtwara Njombe,Iringa Katavi ,Rukwa,Songwe, Kilimanjaro nk Jichagulie mkoa wa kwenda ukaanzishe kilimo.
Tanzania kuna mbuga za wanyama za kutosha.
Tanzania ina mipaka ya kutosha ya kukuwezesha kufanya biashara na nchi jirani.
Tanzania ina Amani tele na watu wakarimu wenye upendo kila mkoa.
Halafu umuige msomali kutapatapa kwenye maroli huku ukiacha rasilimali za kutosha kukufanya uwe tajiri .
Rejea shairi linaitwa Fikiri:
"Fikiri mimi jamani nakufa hapa kwa nini, chakula kingi nyumba, ..nyumbani ashiba..." .
Ulaya kuna rasolimsli gani za kumtajirisha mkimbizi kutoka Afrika, je waweza nitajia watu maarufu waliotajirika kwa kuwa wakimbizi huko ulaya .
Point
 
Habari wanabodi!

Katika taarifa ya habari ya leo wakati natazama hapa ITV kuna gari kubwa imepata ajari kule Handeni watu wa tatu wamefariki.

Polisi wamefanikiwa kuwakamata wasomalia kama 15 waliokuwa wakisafiri wanaelekea Songea kwenye makaa ya mawe, sasa hapa ndio najiuliza huko Songea kuna nini cha ajabu mpaka watu wavuke mipaka yote waende Songea?

Kama kuna fursa nyingi tuambiane, haiwezekani watu wavuke mipaka yote waje mpaka Bongo wakati wenyewe wabongo hatujui kama kumeila huko.

Kama kuna mgodi umetema tuambiane ,tuwahi na moko zetu huko bombi nyumbi.
Usiwaige hao, kwa Wasomali kila kitu ni fursa hata vumbi na mawe achilia mbali bahari
 
Back
Top Bottom