Kweli ma doctar wa hawa ndugu zetu wana shuhuli nipale walipo ambiwa watoe mifano ili kwa wale waliopona waruhusiwe huyo jamaa wa kwanza alipanda juu kwenye kona ya nyumba akajininginiza mwenzake akachukua rula akaanza kuranda yule kule juu akasema nampa huyo hapo chini mwanga ili anapo randa mbao zi nyooke