Huko Marekani weusi wanakwisha

Mwingine baada ya altonsterling kapigwa risasi akiwa na girlfrnd
 
Nani anaweza kuniwekea takwimu za mauaji ya weusi kwa weusi na yale ya weusi wanaouliwa na polisi wa Kizungu.
This kind of thinking of yours is more dangerous , kaaah

Unataka kutuambia nn bwana mtwana,kwa hiyo hata kama weusi kwa weusi wanauana ndio inahalalisha hao wabaguzi weupe kuua weusi pasi na sababu,

Labda tu nikuulize,hao weupe wao kwa wao hawauani..!!??

Mbona hatujasikia weusi wakiua wazungu kisa weupe kwa weupe wanauana...!!??
Hizi arguments za kiboya ni bora ungelibaki nazo kuliko kudhihirisha utupu wako wa akili hapa
 
Hao wamarekani wanauliwa kwa ubaguzi hakuna zaidi tofauti na weusi wenywe wanaouana kwa sababu ya migogoro ya kisiasa kwenye nchi zao. Unataka kuhararisha mauaji ya afro negro huko kwenu na vurugu za kisiasa.

Mnauana Afrika na mnahamishia huo utamaduni kwenye nchi za watu.
 
This kind of thinking of yours is more dangerous

No, yours is way more dangerous.

kaaah
Unataka kutuambia nn bwana mtwana,kwa hiyo hata kama weusi kwa weusi wanauana ndio inahalalisha hao wabaguzi weupe kuua weusi pasi na sababu ,

Nachosema ni kwamba weusi kwa weusi wanauana kwa kiasi kikubwa sana na hakuna anayejali, kupiga kelele, wala kuandamana.
Kwa nini iwe hivyo? Ina maana mweusi akiuliwa na mweusi mwenzie ni sawa tu lakini ikitokea mweusi kauwawa na polisi mweupe ndo inakuwa ishu sio?

Angalia takwimu za Chicago za mwaka huu kuhusu mauaji ya weusi kwa weusi uone zinavyotisha halafu uniambie kwa hayo mauaji hayawakasirishi watu.

Labda tu nikuulize,hao weupe wao kwa wao hawauani..!!??
Wanauana ndiyo.

Mbona hatujasikia weusi wakiua wazungu kisa weupe kwa weupe wanauana...!!??

Kwa hiyo ulichosikia ni kwamba weupe wanaua weusi kisa weusi kwa weusi wanauana? Mantiki gani hiyo wewe!?

Hizi arguments za kiboya ni bora ungelibaki nazo kuliko kudhihirisha utupu wako wa akili hapa

Mbona zako hujabaki nazo? Au ulitaka kututhibitishia ukilaza wako hapa?
 
This kind of thinking of yours is more dangerous ,kaaah
Unataka kutuambia nn bwana mtwana,kwa hiyo hata kama weusi kwa weusi wanauana ndio inahalalisha hao wabaguzi weupe kuua weusi pasi na sababu ,
Labda tu nikuulize,hao weupe wao kwa wao hawauani..!!??
Mbona hatujasikia weusi wakiua wazungu kisa weupe kwa weupe wanauana...!!??
Hizi arguments za kiboya ni bora ungelibaki nazo kuliko kudhihirisha utupu wako wa akili hapa

Huyu jamaa ana mahaba na usa so sishangai anavyotetea ujinga.
 
No, yours is way more dangerous.

Nachosema ni kwamba weusi kwa weusi wanauana kwa kiasi kikubwa sana na hakuna anayejali, kupiga kelele, wala kuandamana.

Kwa nini iwe hivyo? Ina maana mweusi akiuliwa na mweusi mwenzie ni sawa tu lakini ikitokea mweusi kauwawa na polisi mweupe ndo inakuwa ishu sio?

Angalia takwimu za Chicago za mwaka huu kuhusu mauaji ya weusi kwa weusi uone zinavyotisha halafu uniambie kwa hayo mauaji hayawakasirishi watu.

Wanauana ndiyo.

Kwa hiyo ulichosikia ni kwamba weupe wanaua weusi kisa weusi kwa weusi wanauana? Mantiki gani hiyo wewe!?

Mbona zako hujabaki nazo? Au ulitaka kututhibitishia ukilaza wako hapa?
Kwa hiyo una-justify nini hapa ewe mwenye akili

Labda nikuulize swali ,inakuaje AMA itakuwa vp endapo matukio kama haya yangelifanywa/yatafanywa na weusi kuwafanyia hao weupe ...!!??

Unafikiri taswira ,mawazo na reaction ya wazungu itakuwa kama ya kwako...!!??

Au rahisi tu ,unadhani waweza simama mbele ya Negros wenzako wakati huu huko USA kwenu na ya kuyasema uliyoyaandika hapa halafu wakuchekee na kukupigia makofi...!!??

Nadhani ni mtu mweusi tu,tena aina yako ndio wanaokubali kunyanyaswa home and away halafu wakaendelea lamba viatu.
Alisema msemaji mmoja kwamba "we must learn to live together as brothers to flourish or as a fools to perish"

Na pia ukumbuke "what's goes around comes around " ,sikuombei mabaya ila siku yakikupata ndio utajua nn maana ya mahaba niue
 
Sihalalishi chochote bali naweka mambo kwenye muktadha wake sawia.

Kwa nini huwa hamtokwi povu pale ambapo weusi kwa weusi wanauana utadhani mchezo lakini mnatoa povu kwenye matundu yote saba pale inapotokea polisi wa Kizungu kamuua mweusi?

Labda nikuulize swali ,inakuaje AMA itakuwa vp endapo matukio kama haya yangelifanywa/yatafanywa na weusi kuwafanyia hao weupe ...!!??

Sheria itachukua mkondo wake!

Unafikiri taswira ,mawazo na reaction ya wazungu itakuwa kama ya kwako...!!??

Kwa nini yasiwe?

Au rahisi tu ,unadhani waweza simama mbele ya Negros wenzako wakati huu huko USA kwenu na ya kuyasema uliyoyaandika hapa halafu wakuchekee na kukupigia makofi...!!??

Hebu bofya hicho kiunganishi ufute ujinga wako kwanza!

Police kill more whites than blacks, but minority deaths generate more outrage

Nadhani ni mtu mweusi tu,tena aina yako ndio wanaokubali kunyanyaswa home and away halafu wakaendelea lamba viatu.

Madhali unadhani tu basi haina shida!

Alisema msemaji mmoja kwamba "we must learn to live together as brothers to flourish or as a fools to perish"

Kwa hiyo?

Na pia ukumbuke "what's goes around comes around " ,sikuombei mabaya ila siku yakikupata ndio utajua nn maana ya mahaba niue

Negro please!!
 
Hao nao ni wanafiki tu...black on black crimes, rate yake kubwa kuliko mauaji ya polisi. Drive by shootings etc.
Usitegemee mtu mweupe akuonee huruma wakati ninyi kwa ninyi mnauana.
 
Hao nao ni wanafiki tu...black on black crimes,rate yake kubwa kuliko mauaji ya polisi.Drive by shootings etc.
Usitegemee mtu mweupe akuonee huruma wakati ninyi kwa ninyi mnauana.

Umeona eeh....huko Chicago wanauana utadhani ni mchezo tu.
 
Weusi uko sio kwao huko wapo utumwani.. Nyumbani kwa mweusi ni Africa japo wenyewe huko hawapataki kabisa na kama wangeweza wangefuta kabisa hiyo background yao.
 
Siungi mkono mauaji ya MTU yeyote ila naona ni unafiki mkubwa kujifanya mauaji Haya yametugusa wakati kila siku tunauana afrika..
 
Umeona eeh? Watu wanafiki kweli humu.

Kila siku Waafrika wanachinjana huko lakini ikitokea mtu mweusi kauliwa na polisi Marekani inakuwa nongwa!

Papo hapo...weusi wa Marekani wanauana wenyewe kwa wenyewe kila siku tena kwa idadi kubwa mno lakini hawa wala vumbi wala hawajali....wanajali pale tu inapotokea Mzungu kaua mweusi....ndo inakuwa nongwa!

Mijitu mingine bana...
 
Chicago ni kwa wiki si chini ya mtu 7 wanachezea madini ya Zambia.

Idadi ya weusi kwa weusi wanaouana ni kubwa kuliko askari wanaokufa vitani Marekani kwa mwaka! watu kimyaa!

Hapa Afrika na Tz hatujiulizi wiki moja tumepoteza watu zaidi ya 50 kwa ajali za kipuuzi kabisa, leo tunaonyesha sympathy kwa maisha ya wengine! Unafiki kama wa Black lives matter

Ni makosa kuua mtu lakini je, tunazungumza kwa dhati ya mioyo yetu au ushabiki tu!
 
Chicago ni kwa wiki si chini ya mtu 7 wanachezea madini ya Zambia.

Idadi ya weusi kwa weusi wanaouana ni kubwa kuliko askari wanaokufa vitani Marekani kwa mwaka! watu kimyaa!

Hapa Afrika na Tz hatujiulizi wiki moja tumepoteza watu zaidi ya 50 kwa ajali za kipuuzi kabisa, leo tunaonyesha sympathy kwa maisha ya wengine!
Unafiki kama wa Black lives matter

Ni makosa kuua mtu lakini je, tunazungumza kwa dhati ya mioyo yetu au ushabiki tu!

Umeliona hilo na wewe eeh? Huko Chicago watu weusi wana assassinate hadi watoto wadogo kwa mambo ya visasi na huwa hatuzioni hizi sympathies za humu.

Lakini inapotokea polisi Mzungu kaua mweusi...basi inakuwa eti Marekani inaua watu weusi.

Halafu bana...namba huwa hazidanganyi hata kidogo. Na ukweli wa mambo ni kwamba, idadi kubwa ya Wazungu huko Marekani ndo huuliwa zaidi na polisi kuliko watu weusi wanaouliwa na polisi.

Tofauti iliyopo ni kwamba, watu weusi wanaouwawa na polisi hupata coverage kubwa sana ya vyombo vya habari kuliko Wazungu wanaouliwa na polisi na hivyo kutengeneza taswira potofu ya kwamba watu weusi wengi ndo huuliwa na polisi kuliko races zingine.

Men lie, women lie, numbers don't!! Bofya hapo chini usome....

Back
Top Bottom