Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,894
- 8,975
Huku wanaita panadol
Tunaita 4g+Huku nilipo vinaitwa vifurushi.
Ukifika unasema niunge utaulizwa cha siku au wiki. Yaani kimoja au viwili?
Ukishachagua kifurushi chako pendwa unaulizwa tigo au voda. Tigo ni highlife na voda ni London. Ukichagua mtandao basi utaona glass inakuja na moja kwa moja unakuwa umeungwa.
Raha sana.
Huko kwenu wanaitaje?
kasichana ni konyagi ya chupa mkuu,kiroba ni zile zinazokuwa kwenye vijimfuko vya plastiki ambavyo vimeharamishwa na wakubwaKasichana