Hujuma Rasmi: sina hakika kama kufika Desemba Deluxe Dar-Arusha itakuepo tena

Wachumia tumbo wawe na akili hizo nchi hii, we kaangalie kuna mabox yanaitwa 1st class Dar Mwanza, ndiyo utaelewa,

Tusipofundisha watoto wetu kupenda standards bila kujali watazitumia Au laah, hatufiki. Tutasafirishwa hivyo hivyo ka ng'ombe au gunia za mpunga na mahindi.

Everyday is Saturday............................. :cool:

Mkuu umeuwaa eti maboksi
kweli ni bora kuwafundisha watoto ingawa wakienda shule nako wanaona mambo tofauti
Na wakikuwa pia wanakuta wako humu humu kwenye takataka tu
 
Kwani treni Dar Arusha huchukua muda gani??
Nauli yenyewe umelipa 8,700 kisha unataka usafirishwe kama umepanda Fresh ya Shamba.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Umempa za uso.
Arusha Dar Kuna mabasi mengi tu yenye hadhi, jamaa hakuyaona akaamua a sevu hela aje aringishie watu kwenye pombe. Matokeo yake hela yote imeishia njiani kwa kumuungisha kadogosana and co.
 
Inawezekana aisee,Tangu hii jamhuri imeanza sijawah kuona Rais anafanya michezo ya kuvuta kamba,hata kama meko alikuwa anatuaminisha "hii nchi imechezewa sana" ila hii ya sasa kali,Rais anacheza na dera? 🤣 🤣 🙌 🙌,Ngoja tuone UZALO itaishia wapi
Kwani Magu si alikuwa anapiga ngoma za kienyeji na kucheza kabisa? Au ile hukuona unaona vya dera tu?
 
Huu utakuwa uzi wangu wa pili kuzungumzia mradi huu ambao Hayati aliacha kama Legacy. Kwa wanaosafiri mara kwa mara wanaweza kuja na maelezo ya kutosha sababu nilichoshuhudia jumamosi ni hatari kwa Tanzania Railways Corp .
Tumetoka Arusha usiku wa Jumamosi tumeingia Dar saa 10 jioni Jumapili.

Nani atapanda tena usafiri kama huu? Shirika linaenda kufa rasmi, labda tusubiri SGR ikamilike tuone kama wataweza. Kumbe uongozi kipaji bhana sio kila mtu anaweza kuongoza
Legacy aliyoacha ni kuropoka na kutumia pesa hovyo utafikiria pesa mali yake,ccm walichagua mwehu mwenye file mirembe..mtu unafanya miradi bila mahesabu huku uchumi wa nchi unaporomoka na watu kuzidi kua maskini,kanunua madege kayapaki hayana kazi,heri shetani wenzake walimpenda kuliko ccm
IMG_20210830_104549.jpeg
 
Back
Top Bottom