Hujuma jengo TANESCO: Watu wachanganya maji na mafuta kwenye mtambo wa kushushia vitu vizito ili jengo lisibomolewe

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Watu wasiojulikana wamechanganya maji na mafuta kwenye mashine ya kupandisha na kushushia vitu vizito inayotumika kubomoa jingo la shirika la umeme Tanzania (Tanesco).

Hatua hiyo ndiyo inayosababisha kazi ya ubomoaji wa jingo hilo kutokamilika ndani ya muda uliopangwa.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa majengo Tanzania (TBA). Elius Mwakalinga, aliyasema hayo jana wakati akizungumza na tulipata kufahamu sababu zilizofanya kutokamilika kwa wakati ubomoaji wa jingo la Tanesco.

“Mashine hiyo ilikuwa na matatizo, wakairekebisha… yaani mtu anatoka huko anaweka maji kama plastiki mbili hivi kwenye mafuta. “Walitoa maji hayo, wakasafisha, wakarudisha pampu, kreni imeanza kufanya kazi, nilikuwa safarini na niliporudi ndiyo nikakutana na hizo taarifa,” alisema.

“Ubomoaji utakamilika baada ya siku 10 kutoka sasa. Leo wanaendelea na ubomoaji.”

Alisema kwa sasa TBA kwa kushirikiana na mwenye mashine hiyo wanafanya uchunguzi, ili kuwabaini watu waliohusika na kitendo hicho.

Mwakalinga alisema kazi ya kubomoa jingo hilo itakamilika baada ya siku 10 na kwamba siku nane zitakuwa za ubomoaji na ssiku mbili zitakuwa za kubeba kifusi.

Agizo la ubomoaji wa jingo hilo lililotolewa na Rais John Magufuli Novemba 15, mwaka jana, alipowasili jijini Dar es salaam akitokea kijijini kwao Chato, mkoani Geita.

Rais Magufuli alimwagiza Meneja wa Wakala wa Barabara (Tanroads), Mkoa wa Dar es salaam, Mhandisi Ndyamukama Julius, kuvunja sehemu ya jingo la Tanesco na lile la Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ili kupisha ujenzi wa barabara ya juu (flyover) ya Ubungo.

Rais Magufuli alisema sheria ya hifadhi ya barabara katika eneo la Ubungo ni mita 90 kila upande kutoka katikati ya barabara, hivyo ni lazima sheria hiyo iheshimiwe, ili kuharakisha ujenzi wa daraja la ghorofa tatu bila kikwanzo.
 
Kwenye mitambo hivyo vitu hutokea kama mafundi naoperator hawako makini, ufuniko wa tank ya mafuta usipofungwa vizuri au kutowekwa kabisa unaweza kuleta hiyo shida, Fuel Tank condensation hutokea kama machine imeachwa mwisho wa shift bila mafuta mara kwa mara na kujazwa asubuhi, Ununuzi wa mafuta yasiyo bora kwenye vituo vya hovyo au mitaani, wizi wa mafuta kwenye sites hufanyika na watu huweka maji kujinasua (hili hutokea mara kwa mara kwenye site za kishwahili), Fuel tank, Fuel lines na fuel water separator kwenye huo mtambo viangaliwe pia..

Huwezi kusema ni hujuma kama hujajiridhisha na vyote hapo juu, Kabla hujasema unahujumiwa inabidi ufanye utafiti wa kina kwenye mifumo yako kujua kama unahujukiwa..
 
"Mhandisi Ndyamukama Julius, kuvunja sehemu (siyo sehemu tu....jengo zima) ya jengo la Tanesco na lile la Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ili kupisha ujenzi wa barabara ya juu (flyover) ya Ubungo."
Juzi, Mhandisi huyuhuyu baada ya kutambua kwamba alijikurupukia kutangaza bomoa ya ubungo mataa-hadi kimara, kajikuta akitangaza kusitisha bomoa ...!!!
 
Watu wasiojulikana wamechanganya maji na mafuta kwenye mashine ya kupandisha na kushushia vitu vizito inayotumika kubomoa jingo la shirika la umeme Tanzania (Tanesco).

Hatua hiyo ndiyo inayosababisha kazi ya ubomoaji wa jingo hilo kutokamilika ndani ya muda uliopangwa.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa majengo Tanzania (TBA). Elius Mwakalinga, aliyasema hayo jana wakati akizungumza na tulipata kufahamu sababu zilizofanya kutokamilika kwa wakati ubomoaji wa jingo la Tanesco.

“Mashine hiyo ilikuwa na matatizo, wakairekebisha… yaani mtu anatoka huko anaweka maji kama plastiki mbili hivi kwenye mafuta. “Walitoa maji hayo, wakasafisha, wakarudisha pampu, kreni imeanza kufanya kazi, nilikuwa safarini na niliporudi ndiyo nikakutana na hizo taarifa,” alisema.

“Ubomoaji utakamilika baada ya siku 10 kutoka sasa. Leo wanaendelea na ubomoaji.”

Alisema kwa sasa TBA kwa kushirikiana na mwenye mashine hiyo wanafanya uchunguzi, ili kuwabaini watu waliohusika na kitendo hicho.

Mwakalinga alisema kazi ya kubomoa jingo hilo itakamilika baada ya siku 10 na kwamba siku nane zitakuwa za ubomoaji na ssiku mbili zitakuwa za kubeba kifusi.

Agizo la ubomoaji wa jingo hilo lililotolewa na Rais John Magufuli Novemba 15, mwaka jana, alipowasili jijini Dar es salaam akitokea kijijini kwao Chato, mkoani Geita.

Rais Magufuli alimwagiza Meneja wa Wakala wa Barabara (Tanroads), Mkoa wa Dar es salaam, Mhandisi Ndyamukama Julius, kuvunja sehemu ya jingo la Tanesco na lile la Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ili kupisha ujenzi wa barabara ya juu (flyover) ya Ubungo.

Rais Magufuli alisema sheria ya hifadhi ya barabara katika eneo la Ubungo ni mita 90 kila upande kutoka katikati ya barabara, hivyo ni lazima sheria hiyo iheshimiwe, ili kuharakisha ujenzi wa daraja la ghorofa tatu bila kikwanzo.

Jengo lenyewe mbona lishafika robo kwisha hujuma iko wapi hapo?
 
hii issue bado haija qualify kuitwa 'hujuma' huu ni uzembe, lakini hawa TBA si ndio wale vilaza wanao 'haribu' na kuchelewesha kila project wanazopewa usikute wanatafuta sababu tuu za kuchelewesha zoezi la ubomoaji!
 
yani hapo kwenye mita ndo vunja mbavu-komedi. acha movie iendelee tu
Kumbe, Morogoro Road, ziko Tatu !!!!!, ya kwanza, Kutoka Posta (siyo pale askari monument), ikapita kariakoo-kigogo , kwa shehe yahya huseni , Ubungo maziwa...nakuendelea. Ya PILI. kutoka posta centre - Faya magomeni mikumi (sio mapipa) mburahati, maziwa Ubungo mwisho na kuendelea, pale kimara stopover, ilikatisha ndani sana hadi suca ikatoka ten!!!!! sasa sikiliza ya TATU; posta Bismini -faya mapipa, manzese, ubungo hadi huku juu kibo .
SWALI LINALOWASHINDA SERIKALI NA HAWA WAKINANSHOMILE WA TANROADS. Kesi hii isimamie kwenye barabara gani? code ya mwaka1932, 1946, 1954, 1072, nk) !!!!!!!!! walijitusu kwa kuweka ambatanisho la mita zake bila kulijua !!
 
"Mhandisi Ndyamukama Julius, kuvunja sehemu (siyo sehemu tu....jengo zima) ya jengo la Tanesco na lile la Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ili kupisha ujenzi wa barabara ya juu (flyover) ya Ubungo."
Juzi, Mhandisi huyuhuyu baada ya kutambua kwamba alijikurupukia kutangaza bomoa ya ubungo mataa-hadi kimara, kajikuta akitangaza kusitisha bomoa ...!!!
Hii taarifa naweza kuisoma full kiongozi? Maana naona kama umenikuu mahala.
 
Nimesoma pahala ni angalau 30 Billion zile ambazo zinataka kuzikwa ardhini!!

Btw, nilidhani wanataka kutumia implosion?! Yaani wanataka kufanya "manual" demolition?!
 
Watu wasiojulikana wamechanganya maji na mafuta kwenye mashine ya kupandisha na kushushia vitu vizito inayotumika kubomoa jingo la shirika la umeme Tanzania (Tanesco).

Hatua hiyo ndiyo inayosababisha kazi ya ubomoaji wa jingo hilo kutokamilika ndani ya muda uliopangwa.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa majengo Tanzania (TBA). Elius Mwakalinga, aliyasema hayo jana wakati akizungumza na tulipata kufahamu sababu zilizofanya kutokamilika kwa wakati ubomoaji wa jingo la Tanesco.

“Mashine hiyo ilikuwa na matatizo, wakairekebisha… yaani mtu anatoka huko anaweka maji kama plastiki mbili hivi kwenye mafuta. “Walitoa maji hayo, wakasafisha, wakarudisha pampu, kreni imeanza kufanya kazi, nilikuwa safarini na niliporudi ndiyo nikakutana na hizo taarifa,” alisema.

“Ubomoaji utakamilika baada ya siku 10 kutoka sasa. Leo wanaendelea na ubomoaji.”

Alisema kwa sasa TBA kwa kushirikiana na mwenye mashine hiyo wanafanya uchunguzi, ili kuwabaini watu waliohusika na kitendo hicho.

Mwakalinga alisema kazi ya kubomoa jingo hilo itakamilika baada ya siku 10 na kwamba siku nane zitakuwa za ubomoaji na ssiku mbili zitakuwa za kubeba kifusi.

Agizo la ubomoaji wa jingo hilo lililotolewa na Rais John Magufuli Novemba 15, mwaka jana, alipowasili jijini Dar es salaam akitokea kijijini kwao Chato, mkoani Geita.

Rais Magufuli alimwagiza Meneja wa Wakala wa Barabara (Tanroads), Mkoa wa Dar es salaam, Mhandisi Ndyamukama Julius, kuvunja sehemu ya jingo la Tanesco na lile la Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ili kupisha ujenzi wa barabara ya juu (flyover) ya Ubungo.

Rais Magufuli alisema sheria ya hifadhi ya barabara katika eneo la Ubungo ni mita 90 kila upande kutoka katikati ya barabara, hivyo ni lazima sheria hiyo iheshimiwe, ili kuharakisha ujenzi wa daraja la ghorofa tatu bila kikwanzo.

Tunajua chadema wanafanya sabotage kwa nchi yetu lkn mwisho wa siku jengo litaanguka na flyover itasimama!
 
AMEJUAJE PLASTIC MBILI AMA TATU KAMA NA YEYE HAHUSIKI AMA ALIEWEKA KAMWAMBIA ZIKO MBILI..NA PLASTIC RAMBO AMA LTR 1/2/3/4/5
 
Back
Top Bottom